Ilisolokobwe
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 1,856
- 814
Mpira unatabirika ndio maana tulisema Sevilla wataifunga Simba na ikawa hivyo!Ukisema Tz itaifunga Kenya ni "rush judgement " mpira hautabiriki
Ni rahisi mno!Tanzania kushinda itakuwa ngumu sana
Usinilishe maneno mkuu, nani amekwambia Mimi naomba Taifa stars ishinde? Mimi niko upande wa Ndugai na Mwakyembe!
Dua la kuku hilo!CCM stars inafungwa na Harembee mufa mfupi ujao
UnaotaTanzania 2 Kenya 1
TutaonaDua la kuku hilo!
Kwani Taifa stars haita draw na Algeria?!Tufanye tutamfunga Kenya (kitu ambacho ni ndoto) game ya mwisho algeria na bongo, wakati huo senegal na point zake tatu tayari atahitaji droo tu kwa kenya (mathematically pia hatamuacha Kenya)..
Msimamo wa kundi utabaki kwa mtiririko uleule kama siku ile makundi yalivyopangwa
Muda si mrefu kutoka sasa!Tutaona
Tayari tumefuzu maana Algeria kamfunga Senegal aliyetufunga kwahiyo apo sisi tumesaidiwa kulipa kisasi.
Tanzania vs Kenya = GG& 1.5 ov
CCM stars italizwaMuda si mrefu kutoka sasa!
Hahahaa Kenya anapigwa 3 kwa Nunge!CCM stars italizwa