lucky lefty
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 491
- 454
Ndio tunakoelekea!Tanzania 3 na Kenya 0
Ndipo tunapopataka kumbuka hata sisi hatujabahatisha kufuzu.Huko mbele kugumu hakuna kubahatisha
Umeanza kujihami 😂😂😂Hata tz ikipata ushindi leo hali bado ni ngumu huko mbele
Algeria washaqualify. Hivyo tukicheza nao wataweka team B.Hata tz ikipata ushindi leo hali bado ni ngumu huko mbele
Tanzania 2- 1 KenyaAlgeria vs kenya 2--0
Senegal vs Tanz 2--0
Algeria vs senegal 1--0
Tanzan vs Kenya = ?? Wataalamu wa mahesabu hebu shusheni equation hapo tuone fact. Mukianza na neno "if..."
Michezo ni siasa usisahau hilo!Hi ni siasa ?
TutapambanaHata tz ikipata ushindi leo hali bado ni ngumu huko mbele
Mkuu unaangalia mpira?!Tanzania kushinda itakuwa ngumu sana
PowerfulTutapambana
Cha pili ndio chali kabisaHarambee wametuangusha sana kipindi cha kwanza.
Kamanda unaangalia mpira?!........msalimie Daudi MchambuziCCM stars inafungwa na Harembee mufa mfupi ujao