2019 Africa Cup of Nations Special Thread

2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Mzee Mwinyi alikua sahihi kabisa, hii hali ya kuwa kichwa cha mwendawazimu itamalizika lini? Kwa kweli tumeaibika mno huko Misri, hawa vijana wanapaswa kucharazwa bakora tu, hakuna namna. Kabisa.
 
Mh. Tutapigwa goli ngapi? Tujibu hata kwa vidole tuView attachment 1140590
Hili dude limeenda kuitia nuksi timu yetu. Hata mashabiki tulioko Misri alipokuja huyu misifaz kempu tulipoteza kabisa morali ya kushangilia maana ni nuksi najisi na kichefuchefu. Ila tungeshinda leo hizo sifa zake sijui tungejificha wapi sijui tu aise.
 
Back
Top Bottom