2019 Africa Cup of Nations Special Thread

2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Mzee Mwinyi alikua sahihi kabisa, hii hali ya kuwa kichwa cha mwendawazimu itamalizika lini? Kwa kweli tumeaibika mno huko Misri, hawa vijana wanapaswa kucharazwa bakora tu, hakuna namna. Kabisa.
Vijana wako vizuri kiasi chake, lakini Bashite ndio kaenda kuwavuruga.
Atawaambiaje wachezaji kuwa timu ya Taifa ni ya CCM?
Anajuwa itikadi za wachezaji wote ni nini?
Hiyo ni sawa na kuwaambia wachezaji nimewaandalia kitimoto ya kukaanga mkishinda, wakati kuna kina Hussein,Juma nk!
Kamdanganya rais eti niende nikaongeze hamasa kumbe kaenda kuwatibua kabisa. Huyu ni wakupigwa makofi kama alivyo mpiga Mzee Sinde.
 
Algeria wameifunga Senegal 1 - 0 na hivyo kuifanya Taifa stars ambayo itaifunga Harambee Stars ya Kenya muda mfupi ujao kuwa katika nafasi nzuri ya kusonga mbele.

Nitarudi baadae kuweka msimamo wa kundi letu.

Hakika Cairo kumenoga.........Amunike hoyeee!

Maendeleo hayana vyama!
Njia jitengenezee mwenyewe usisubiri kutengenezewa.
 
Kocha hajui ni wakati gani afanye nini,hana plan za soka la kisasa kabisa,hongera kocha wa Harambee stars,ulikiona kikosi chako hakiko sawa ukaanza kukifanyia mabadiliko ya mapema..
 
Ilani chaliiiiiiiiii !!!!!!

IMG-20190628-WA0000.jpeg
 
Back
Top Bottom