Ilani ya chama Chao imefeli vibaya, shetani hawe shindana na MunguSafi sana wakenya nawapongeza kwakua ninyi mliwakilisha taifa, sisi team yetu iliwakilisha kikundi cha watu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilani ya chama Chao imefeli vibaya, shetani hawe shindana na MunguSafi sana wakenya nawapongeza kwakua ninyi mliwakilisha taifa, sisi team yetu iliwakilisha kikundi cha watu.
Vijana wako vizuri kiasi chake, lakini Bashite ndio kaenda kuwavuruga.Mzee Mwinyi alikua sahihi kabisa, hii hali ya kuwa kichwa cha mwendawazimu itamalizika lini? Kwa kweli tumeaibika mno huko Misri, hawa vijana wanapaswa kucharazwa bakora tu, hakuna namna. Kabisa.
Tuliambiwa staz ni mali ya ccm na yule kalunguyeye alisema staz inatekeleza ilani ya ccm yaani kupigwa tu.Aisee Hatimae Ndugai kashinda.
Njia jitengenezee mwenyewe usisubiri kutengenezewa.Algeria wameifunga Senegal 1 - 0 na hivyo kuifanya Taifa stars ambayo itaifunga Harambee Stars ya Kenya muda mfupi ujao kuwa katika nafasi nzuri ya kusonga mbele.
Nitarudi baadae kuweka msimamo wa kundi letu.
Hakika Cairo kumenoga.........Amunike hoyeee!
Maendeleo hayana vyama!
Hahahahahaa tatizo sio Tanzania mkuu, tatizo walioshika usukani.Mimi kwanzia leo sio mtanzania
Kama namwona Ndugai alivyofurahia ushindi wa Harambee Stars [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].Aisee Hatimae Ndugai kashinda.
Hahah hakuna bia nusu bei leoUtulivu huu umeletwa kwenu kwa hisani ya Makonda na Watu wa Lumumba
Ha ha ha haMpira umeisha...
Tanzania 1 na Kenya 0
Na wew umeangalia mpira?Mkuu unaangalia mpira?!