Kweli mkuu sasa nitapata usingiziSafi sana wakenya nawapongeza kwakua ninyi mliwakilisha taifa, sisi team yetu iliwakilisha kikundi cha watu.
Mh. Tutapigwa goli ngapi? Tujibu hata kwa vidole tuView attachment 1140590
Duh!!Safi sana wakenya nawapongeza kwakua ninyi mliwakilisha taifa, sisi team yetu iliwakilisha kikundi cha watu.
Wakenya wakikohoa watz munaitika
VpDuh!!
Hili dude limeenda kuitia nuksi timu yetu. Hata mashabiki tulioko Misri alipokuja huyu misifaz kempu tulipoteza kabisa morali ya kushangilia maana ni nuksi najisi na kichefuchefu. Ila tungeshinda leo hizo sifa zake sijui tungejificha wapi sijui tu aise.Mh. Tutapigwa goli ngapi? Tujibu hata kwa vidole tuView attachment 1140590
Kikundi cha wahuniSafi sana wakenya nawapongeza kwakua ninyi mliwakilisha taifa, sisi team yetu iliwakilisha kikundi cha watu.