2019 Africa Cup of Nations Special Thread

2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Pamoja na madhaifu mengiiii ya TBC ...hili la Timu ya Taifa kushiriki mashindano haya makubwa kwa mara ya kwanza baada ya Miaka 40 ni tukio kubwa sana amabalo lingepewa heshima !
Hii ni fursa kibiashara,kisiasa na kijamii...ni maajabu kuwa TBC(Serikali!) wameshindwa kuitumia! Any way ngoja tuendelee kujengewa uzalendo kwaya za kuisifu awamu ya Tano!
Umenikumbusha Tido Mhando!
 
N
Ninavyoelewa mimi azam tv ni pay tv na ilihali inatakiwa televisheni ya taifa ionyeshe mashindano hayo angalia south afrika dstv wanaonyesha lakini televisheni yao ya taifa Sabc inaonyesha vilevile kenya na uganda tbc1 inakwama wapi
bure UTV CHANNEL YAO YA zzamani ila mpya kwa wachache
 
Egypt wakiwasili
IMG_20190621_221117.jpeg
IMG_20190621_221110.jpeg
 
Nipo nawasubiria jamani Dr. Ayoub Ryoba baba nawasubiri, uzalendo kiafrika zaidi.
Natumaini mtaonesha nawasubiri.
 
Back
Top Bottom