Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kbc
Ubc
Wanaonyesha
Tbc hahahaha daaa
Baada ya miaka miwili.Hivi haya Mashindano yanafanyika baada ya muda gani?
Mpira ni km forex tu if you don't apply risk and strategies inakula kwako..Kwa dakika hizi chache nilizoshuhudia Afcon,
Nisi mumunye maneno, Nina mashaka na kiwango chetu hata kulinganisha na Hawa jirani zetu Zimbabwe,
I'm sorry to say that, wametuzidi mbali.
Wana Kasi, wanaonana, Sina hakika na wakwetu !!!!!!
Naomba mnitoe wasiwasi.
Upo sawa.Kwa dakika hizi chache nilizoshuhudia Afcon,
Nisi mumunye maneno, Nina mashaka na kiwango chetu hata kulinganisha na Hawa jirani zetu Zimbabwe,
I'm sorry to say that, wametuzidi mbali.
Wana Kasi, wanaonana, Sina hakika na wakwetu !!!!!!
Naomba mnitoe wasiwasi.
Okey. AhsanteBaada ya miaka miwili.
Wa kwetu umewaona hadi utoe hii tathmini?Kwa dakika hizi chache nilizoshuhudia Afcon,
Nisi mumunye maneno, Nina mashaka na kiwango chetu hata kulinganisha na Hawa jirani zetu Zimbabwe,
I'm sorry to say that, wametuzidi mbali.
Wana Kasi, wanaonana, Sina hakika na wakwetu !!!!!!
Naomba mnitoe wasiwasi.
Acha utabiri wa kitoto!!mpaka hapa tungekuwa tushakula5
TBC channel ya kutukuza. Afcon live KBC na UBC-hawa wanajitambua.Duh ingefaa tbc watuoneshe mpira