2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Kabla hata mechi hazijaanza, Natabiri Egypt bingwa mashindano ya AFCON na Tanzania tutafanya vibaya. Ni utabiri wangu tu, chungu cha babu kimeniambia.

I wont edit this thread
 
Kwa dakika hizi chache nilizoshuhudia Afcon,
Nisi mumunye maneno, Nina mashaka na kiwango chetu hata kulinganisha na Hawa jirani zetu Zimbabwe,
I'm sorry to say that, wametuzidi mbali.
Wana Kasi, wanaonana, Sina hakika na wakwetu !!!!!!
Naomba mnitoe wasiwasi.
 
Mpira ni km forex tu if you don't apply risk and strategies inakula kwako..
 
Kwa dakika hizi chache nilizoshuhudia Afcon,
Nisi mumunye maneno, Nina mashaka na kiwango chetu hata kulinganisha na Hawa jirani zetu Zimbabwe,
I'm sorry to say that, wametuzidi mbali.
Wana Kasi, wanaonana, Sina hakika na wakwetu !!!!!!
Naomba mnitoe wasiwasi.
Upo sawa.
Huu mpira wa Zimbabwe hata 1/2 hatuwezi.
 
Kwa dakika hizi chache nilizoshuhudia Afcon,
Nisi mumunye maneno, Nina mashaka na kiwango chetu hata kulinganisha na Hawa jirani zetu Zimbabwe,
I'm sorry to say that, wametuzidi mbali.
Wana Kasi, wanaonana, Sina hakika na wakwetu !!!!!!
Naomba mnitoe wasiwasi.
Wa kwetu umewaona hadi utoe hii tathmini?
 
Back
Top Bottom