2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Kwa kifupi kabisa

Harambee Stars waliombewa na Wakenya wote...lakini pia waliombewa na watanzania wapatao 59,999,910 ili washinde. Hapo ilikuwa ni lazima wapate ushindi tu. Ushindi huu umewafurahisha wakenya wengi na pia umewafurahisha watanzania wengi....EAST AFRICA STAND UP

TOGETHER WE STAND, ALONE WE FALL
 
Nikiwa kama mtanzania mzalendo harisi nimefurahi sanaa kipigo cha 3-2 tulicho kipata kutoka kenya... Maana team yetu ya taifa inatumika kama ngazi kisiasa...

Kuna bwana mmoja ambaye hajielewi alisikika akisema watashinda kama wanavyo shinda chaguzi za CCM kwakua taifa stars ni CCM... Nikiwa kama mzalendo hiyo kauli sikuipenda...

Na kingine yule bwana kujinasibu kwamba yeye akienda basi taifa stars itashinda yeye ni nani kwenye soccer...

Tukumbuke kua soccer haihitaji janja janja mpira ni mchezo wa wazi unao hitaji ujuzi.. kwakweli magoal ya msuva na samatta yaliniuma sanaa na kunisononesha moyo...

Mpira ni moja kati ya michezo inayo kutanisha watu na kujenga umoja na udugu ndio maana sisi watu wa mpira tunapinga ubaguzi wa aina yoyote...

TAIFA STARS NI YA WATANZANIA WOTE NA SIO YA CCM PEKEE NDIO MAANA MNAOMBA MICHANGO KWETU SISI WANANCHI...

yule bwana ni kweli hajielewi
 
Hivi Taifa Stars ambayo haikuwaga ya siasa ilifikia hatua gani hasa ktk kufuzu na kubeba kombe lolote Africa tangu TZ ipate uhuru 1964[emoji848]

BONGO TUPE TAARABU, SINGELI NA VIGODORO VYA WENYE VIDUKU LAKINI VIPAJI VYA SOKA WAPE ZAMBIA NA UGANDA[emoji3]
 
Kuna mkenya nimemsikia akiongea haya maneno

Watanzania bana...yaani Wao walidhani kutuletea Yule Kiongozi wao wa Mkoa mwenye Kiherehere, Matege ya Ubanio na Matako ( Makalio ) makubwa kuliko hata Dada zetu wa Kikenya ndiyo angetutisha Wakenya na Harambee Stars yetu ili tushindwe Kuwafunga? "
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…