jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,342
natamani wakuelewe.Nikiwa kama mtanzania mzalendo harisi nimefurahi sanaa kipigo cha 3-2 tulicho kipata kutoka kenya... Maana team yetu ya taifa inatumika kama ngazi kisiasa...
Kuna bwana mmoja ambaye hajielewi alisikika akisema watashinda kama wanavyo shinda chaguzi za CCM kwakua taifa stars ni CCM... Nikiwa kama mzalendo hiyo kauli sikuipenda...
Na kingine yule bwana kujinasibu kwamba yeye akienda basi taifa stars itashinda yeye ni nani kwenye soccer...
Tukumbuke kua soccer haihitaji janja janja mpira ni mchezo wa wazi unao hitaji ujuzi.. kwakweli magoal ya msuva na samatta yaliniuma sanaa na kunisononesha moyo...
Mpira ni moja kati ya michezo inayo kutanisha watu na kujenga umoja na udugu ndio maana sisi watu wa mpira tunapinga ubaguzi wa aina yoyote...
TAIFA STARS NI YA WATANZANIA WOTE NA SIO YA CCM PEKEE NDIO MAANA MNAOMBA MICHANGO KWETU SISI WANANCHI...
yule bwana ni kweli hajielewi