2019 Africa Cup of Nations Special Thread

natamani wakuelewe.
 
Duuuh, hatari sana
 
Hata kama Timu yetu imepoteza game hii dhidi ya Harambee Stars bado wachezaji wetu wanastahili pongezi kubwa sana , wamecheza kitimu ( total football ) na tena walikuwa na kasi sana hasa first half , ukilinganisha na game ya kwanza hii ilikuwa game nzuri mno ! nadhani malumbano na migongano ya viongozi



iliyosambaa mitandaoni ilisaidia kuongeza hamasa yao uwanjani

Vinginevyo kwenye soka kuna kufunga na kufungwa , mpira umechezwa na Kenya wameshinda , niwaombe sasa wadau wote mliojitenga na timu hii rudini kundini tuifariji timu yetu , hii ni timu ya Taifa tuondoe tofauti zetu , maana imedhihirika sasa kwamba mtu mmoja mmoja hawezi kuleta mabadiliko ikiwa wengi wamejitenga , wanaoumia ni wachezaji wetu .

Umoja ni nguvu
 
Everybody say yeeeeeeeeeeeah
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…