jamani wazalendo rudini kundini jamani
Nimefurahi sana pia, kuna kiongozi Mmoja ukubwa tuu wa tifuatifua ashawahi kuingiza siasi kabisa kwenye moja ya mikutano yake kwa kumdhihaki mbunge wa singidaNikiwa kama mtanzania mzalendo harisi nimefurahi sanaa kipigo cha 3-2 tulicho kipata kutoka kenya... Maana team yetu ya taifa inatumika kama ngazi kisiasa...
Kuna bwana mmoja ambaye hajielewi alisikika akisema watashinda kama wanavyo shinda chaguzi za CCM kwakua taifa stars ni CCM... Nikiwa kama mzalendo hiyo kauli sikuipenda...
Na kingine yule bwana kujinasibu kwamba yeye akienda basi taifa stars itashinda yeye ni nani kwenye soccer...
Tukumbuke kua soccer haihitaji janja janja mpira ni mchezo wa wazi unao hitaji ujuzi.. kwakweli magoal ya msuva na samatta yaliniuma sanaa na kunisononesha moyo...
Mpira ni moja kati ya michezo inayo kutanisha watu na kujenga umoja na udugu ndio maana sisi watu wa mpira tunapinga ubaguzi wa aina yoyote...
TAIFA STARS NI YA WATANZANIA WOTE NA SIO YA CCM PEKEE NDIO MAANA MNAOMBA MICHANGO KWETU SISI WANANCHI...
yule bwana ni kweli hajielewi
Nikisemaga chama kile hamna akili ni hamna akili kweli...sasa hapa naye kaandika...na mtaendelea kufundishwa adabu..Nikiwa kama mtanzania mzalendo harisi nimefurahi sanaa kipigo cha 3-2 tulicho kipata kutoka kenya... Maana team yetu ya taifa inatumika kama ngazi kisiasa...
Kuna bwana mmoja ambaye hajielewi alisikika akisema watashinda kama wanavyo shinda chaguzi za CCM kwakua taifa stars ni CCM... Nikiwa kama mzalendo hiyo kauli sikuipenda...
Na kingine yule bwana kujinasibu kwamba yeye akienda basi taifa stars itashinda yeye ni nani kwenye soccer...
Tukumbuke kua soccer haihitaji janja janja mpira ni mchezo wa wazi unao hitaji ujuzi.. kwakweli magoal ya msuva na samatta yaliniuma sanaa na kunisononesha moyo...
Mpira ni moja kati ya michezo inayo kutanisha watu na kujenga umoja na udugu ndio maana sisi watu wa mpira tunapinga ubaguzi wa aina yoyote...
TAIFA STARS NI YA WATANZANIA WOTE NA SIO YA CCM PEKEE NDIO MAANA MNAOMBA MICHANGO KWETU SISI WANANCHI...
yule bwana ni kweli hajielewi
Nikiwa kama mtanzania mzalendo harisi nimefurahi sanaa kipigo cha 3-2 tulicho kipata kutoka kenya... Maana team yetu ya taifa inatumika kama ngazi kisiasa...
Kuna bwana mmoja ambaye hajielewi alisikika akisema watashinda kama wanavyo shinda chaguzi za CCM kwakua taifa stars ni CCM... Nikiwa kama mzalendo hiyo kauli sikuipenda...
Na kingine yule bwana kujinasibu kwamba yeye akienda basi taifa stars itashinda yeye ni nani kwenye soccer...
Tukumbuke kua soccer haihitaji janja janja mpira ni mchezo wa wazi unao hitaji ujuzi.. kwakweli magoal ya msuva na samatta yaliniuma sanaa na kunisononesha moyo...
Mpira ni moja kati ya michezo inayo kutanisha watu na kujenga umoja na udugu ndio maana sisi watu wa mpira tunapinga ubaguzi wa aina yoyote...
TAIFA STARS NI YA WATANZANIA WOTE NA SIO YA CCM PEKEE NDIO MAANA MNAOMBA MICHANGO KWETU SISI WANANCHI...
yule bwana ni kweli hajielewi
Wanasiasa wa CCMUnadhani ni Nani chanzo?
Safi sana wakenya nawapongeza kwakua ninyi mliwakilisha taifa, sisi team yetu iliwakilisha kikundi cha watu.
Unatafuta ban sasaImefir*wa kwa mbinde hahahah!
Kufir*wa ni kufir*wa tu.
Si shabikii tena CCM starsUsiseme taifa star's,sema timu ya chama Cha mapinduzi wameshajimilikisha tumewachia.
Huyu bwana anapenda sifa za kijinga
Nashangaa kwanini hili halikemewi kwanza raisi wa tff naye ndio boga kichwa chake mwana ccm damu damu yani siasa tupu...michezo na hasa soka huunganisha Taifa (kwa baadhi ya nchi) lakini kwetu ni tofauti, wanasiasa wanajitokeza dakika za mwisho na kuanza kuleta mvurugo wa kiitikadi, ilhali soka ina sheria zake 17 zinazotuvua makoti na sare za vyama vya siasa.
Pumbavu sana wanasiasa wa CCM
Dah!Taifa stars ndio team ya wapi?Iliishia huko 1979 ..hii ya juzi na jana na leo ni watumishi wa serikali na wanachama wa CCM walikuwa uwanjani.Tuliambiwa na Mkuu wa mkoa wa Dar...kuwa wanamwakilisha Raisi na chama Tawala.tunashukuru kwa matokeo maana tunazidi kuelewa kuwa kumbe Mungu wao si wetu ..
Wapumbavu waliookotwa majalalani walipofika misri wameketa nuksi kwa timu yetu na kupelekea kufungwa, hongera zao kenya, ni fundisho kwa wabwabwajaji ovyo wajue mpira syo siasa.Safi sana wakenya nawapongeza kwakua ninyi mliwakilisha taifa, sisi team yetu iliwakilisha kikundi cha watu.
Ngoja ninywe na biaNimefurahi sana pia, kuna kiongozi Mmoja ukubwa tuu wa tifuatifua ashawahi kuingiza siasi kabisa kwenye moja ya mikutano yake kwa kumdhihaki mbunge wa singida
Wapi wanafundishwa adabu CCM stars ama?Nikisemaga chama kile hamna akili ni hamna akili kweli...sasa hapa naye kaandika...na mtaendelea kufundishwa adabu..
Nadhani mi moyo wangu ungetuliaMatacour ya Bashite na awamu ya 5!
Wakenya wangepiga 100-0 kabisa!
Nikisemaga chama kile hamna akili ni hamna akili kweli...sasa hapa naye kaandika...na mtaendelea kufundishwa adabu..
Ndio wale wale mazwazwaWw unaona ni sawa kusema timu inatimza ilan ya ccm