BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Mkuu unajua sababu ya hili siyo siri huyo mtu na kundi lake la wahuni wenzie wanachukiwa sana. Wameiua Taifa Stars na kuifanya ccm stars. Sikutegemea kuona Watanzania tukiichukia hii timu kiasi hiki lakini wa kulaumiwa Mkuu unawajua wakiongozwa na yule nduli na dikteta wa Ikulu.
jamani wazalendo rudini kundini jamani