Umenikumbusha Tido Mhando!Pamoja na madhaifu mengiiii ya TBC ...hili la Timu ya Taifa kushiriki mashindano haya makubwa kwa mara ya kwanza baada ya Miaka 40 ni tukio kubwa sana amabalo lingepewa heshima !
Hii ni fursa kibiashara,kisiasa na kijamii...ni maajabu kuwa TBC(Serikali!) wameshindwa kuitumia! Any way ngoja tuendelee kujengewa uzalendo kwaya za kuisifu awamu ya Tano!
Halafu kuna genge la wahuni humu kila kukicha wanaitukana Azam TvAzam TV siku hizi ndo television ya taifa cjui wasingekuwepo tungeweka wapi nyuso zetu.
bure UTV CHANNEL YAO YA zzamani ila mpya kwa wachacheN
Ninavyoelewa mimi azam tv ni pay tv na ilihali inatakiwa televisheni ya taifa ionyeshe mashindano hayo angalia south afrika dstv wanaonyesha lakini televisheni yao ya taifa Sabc inaonyesha vilevile kenya na uganda tbc1 inakwama wapi
Nyie subirini Copa AmericaMwenye link atupie sisi wa startimes tunapata tabu
Endelea kumsikiliza Mama VictorNipo nawasubiria jamani Dr. Ayoub Ryoba baba nawasubiri, uzalendo kiafrika zaidi.
Natumaini mtaonesha nawasubiri.
Inakata kata sana, sijui hawajajipanga?!bure UTV CHANNEL YAO YA zzamani ila mpya kwa wachache