Wajinga hao wanaleta siasa kwenye mpiraYaani we mbarika ni mbarika kwelikweli. Kama nakuona kwenye avator yako. Ila Mungu anakuona japo kwa upande wangu mkeka uko salama na mhindi ashaliwa.
Wanapambana???Vijana wanapambana sana. Sema ndio hivyo tunakutana na mafundi.
Viva stars viva tanzania
Imebadilika huku inaendelelea kuchezea kichapo? HahaaaaTumekutana na timu mbili za kiwango cha dunia.
Mbali na kufungwa stars wanacheza mpira kweli unaonekana.
Ni kwamba tu algeria ni timu ya dunia mkuu. Yaani tumepigwa magori yote matamu.tofauti na kenya tulifungwa goli za kijinga. Tunaweza kufanya poa michuano ijayo.
ukitoa kufungwa timu inabadilika tofauti na mechi ya kwanza.
Safi sana na bado kama bao 4 zinasubiriwa kufikisha wiki.Sisi 3- DAB 0
Wanapambana???
Hawajui mpira.
@daby hii timu inahitaji maombi saana na miujiza.Hawa wachezaji wetu....naomba niseme hawachezagi mpira...wameanzia kucheza misri.