Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Congo ni mwanaumeCongo kashafuzu 16 bora
Naona Kenya nao wanazidi kula za uso, tatu bila mpaka sasa
Kwa ulinzi wa Kenya asingeweza kumuwin Senegal.Kuna wadau walikuwa wanasema Senegal ni timu mbovu hivyo lazima wakalishwe na Kenya
Cheka kipumbavuNimecheka kifala
Kwa hiyo nao wamepigwa 3 buyu ?Kwa ulinzi wa Kenya asingeweza kumuwin Senegal.
Kenya hawana ulinzi ni kama sisi......Tofauti yao wao wanapocheza wanajua wanalichezea taifa lao.
Spirit ipo....wanapigana....
Omolo na Olunga leo waneshindwa kutoboa ulinzi wa Senegal.
Wacha fujo... Kesho asubuhi wote tunapanda ndege moja
Tukiwa juu yenu bado afu bado tuliwanyorosha. 😂😂😂Wacha fujo... Kesho asubuhi wote tunapanda ndege moja
Senegal ni mbovu kweli ikikutana na mafundi wa mpira kama wao wataendelea kugongwa kama walivyo gongwa na Algeria.Kuna wadau walikuwa wanasema Senegal ni timu mbovu hivyo lazima wakalishwe na Kenya
Yes wameenda nazo.Kwa hiyo nao wamepigwa 3 buyu ?
Senegal ni mbovu kweli ikikutana na mafundi wa mpira kama wao wataendelea kugongwa kama walivyo gongwa na Algeria.
Man of the match golikipa wa Kenya kafanya saves za hatari sana.
Olunga leo hakuwa na madhara
Hii game imenivutia kuliko ya wajinga wajinga wa Ccm nimeitazama dk mbili tu nikatoa
Kuna possibility ya best loser kwa wakenya ?Yes wameenda nazo.
Waliaanza kwa kukaba...walijitahidi mwanzoni kuwadhibiti Senegal...
Kama mechi za Kesho wenzake hawatafungwa nyingi.Kuna possibility ya best loser kwa wakenya ?
Nasema hivii... Kesho asubuhi enda Airport kupokea OlungaTukiwa juu yenu bado afu bado tuliwanyorosha. [emoji23][emoji23][emoji23]
Walituhurumia siku hiyo kutupiga mbiliKuna wadau walikuwa wanasema Senegal ni timu mbovu hivyo lazima wakalishwe na Kenya
Wamepigwa 3-0 na Mané amekosa penati.Kwani wakenya wamegongwa ngapi ?
Mpaka sasa Benin inaongoza hata isipocheza anafuatiwa na DRC kisha KenyaKama mechi za Kesho wenzake hawatafungwa nyingi.
Maana yeye ana mabao 7 kwasasa.
Benin anacheza.
South Africa yeye kamaliza na Morocco kapigwa 1 tu.
MCongo naye aloshinda...asubiri Mbenin kesho.
Tatizo Kenya wamefungwa goal 7.Ni hati hati sana kucheza best loser. Hapo umeisahau Guinea tena ina point nne kabisa.Kenya wataomba dua mechi za kesho zisiwe na magoli mengi au washindani wao wafungwe ili wapate nafasi ya best loser.
Mpaka sasa
(1) Benin
(2) DRC
(3) Kenya
(4) South Africa
Guinea yenye point nne unaiacha wapi?Mpaka sasa Benin inaongoza hata isipocheza anafuatiwa na DRC kisha Kenya
Hapana anaongoza.Mpaka sasa Benin inaongoza hata isipocheza anafuatiwa na DRC kisha Kenya