2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Kuna wadau walikuwa wanasema Senegal ni timu mbovu hivyo lazima wakalishwe na Kenya
Kwa ulinzi wa Kenya asingeweza kumuwin Senegal.

Kenya hawana ulinzi ni kama sisi......Tofauti yao wao wanapocheza wanajua wanalichezea taifa lao.
Spirit ipo....wanapigana....

Omolo na Olunga leo waneshindwa kutoboa ulinzi wa Senegal.
 
Kwa hiyo nao wamepigwa 3 buyu ?
 
Kuna wadau walikuwa wanasema Senegal ni timu mbovu hivyo lazima wakalishwe na Kenya
Senegal ni mbovu kweli ikikutana na mafundi wa mpira kama wao wataendelea kugongwa kama walivyo gongwa na Algeria.

Man of the match golikipa wa Kenya kafanya saves za hatari sana.
Olunga leo hakuwa na madhara
Hii game imenivutia kuliko ya wajinga wajinga wa Ccm nimeitazama dk mbili tu nikatoa
 
Kwani wakenya wamegongwa ngapi ?
 
Kuna possibility ya best loser kwa wakenya ?
Kama mechi za Kesho wenzake hawatafungwa nyingi.

Maana yeye ana mabao 7 kwasasa.

Benin anacheza.

South Africa yeye kamaliza na Morocco kapigwa 1 tu.

MCongo naye aloshinda...asubiri Mbenin kesho.
 
Mpaka sasa Benin inaongoza hata isipocheza anafuatiwa na DRC kisha Kenya
 
Kenya wataomba dua mechi za kesho zisiwe na magoli mengi au washindani wao wafungwe ili wapate nafasi ya best loser.
Mpaka sasa
(1) Benin
(2) DRC
(3) Kenya
(4) South Africa
Tatizo Kenya wamefungwa goal 7.Ni hati hati sana kucheza best loser. Hapo umeisahau Guinea tena ina point nne kabisa.
 
Back
Top Bottom