2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Hao maustadhi leo pamoja na mbeleko lakini wapi wasiposhinda muda wa nyongeza ni wazembe
 
Mpira wa Africa kama sio ndumba basi kuna kitu. Nimeangalia hii game imenikumbusha mechi ya world cup kati ya Ghana na Uruguay.

Benini wanapata goli last kuongoza, Morocco wanachomoa, dakika tisini zinaisha wanaongeza mbili morocco wanapata penalt. Mshambuliaji wao tegemezi Zayerki anapiga penalti inagonga mwamba. Hapa tupo tunaangalia dakika thelathini za nyongeza. Mpira wa Afrika ni mgumu kwakeli.
 
Kukosa penalti ni sehemu ya mchezo wala haina uhusiano na bara..Benin wanacheza defensive football toka hatua za makundi wamedraw mechi zote 3.Morroco open football(high pressing).Siku zote timu za aina ya Morroco lazma zipate shida inapokutana na timu defensive.(hasa ikiwa aggressive )...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…