Your Majesty
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,242
- 5,345
Nakubali mkuu Uganda kiwango chao ni kikubwa sana na wala sitashangaa kama akimfunga Senegal.Mpira dakika 90
Kiwango cha Ug hakiwezi kufananishwa na kile cha Kenya au Tanzagiza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakubali mkuu Uganda kiwango chao ni kikubwa sana na wala sitashangaa kama akimfunga Senegal.Mpira dakika 90
Kiwango cha Ug hakiwezi kufananishwa na kile cha Kenya au Tanzagiza
Safi mkuu nasimama na Mali hapo mpaka Final.Tuone nani atamchana muhindiView attachment 1147483
Refa kama anawauma Benini kwa mtazamo wangu. Ni half time.Wapo uwanjani dakika ya 14 bila bila
Pia Benin hawapo makiniRefa kama anawauma Benini kwa mtazamo wangu. Ni half time.
Tusubiri mechi uwanjani.Nakubali mkuu Uganda kiwango chao ni kikubwa sana na wala sitashangaa kama akimfunga Senegal.
Unasema?Morocco
Mods wanilime lifeban kama morocco asipobeba afcon
@ModeratorMorocco
Mods wanilime lifeban kama morocco asipobeba afcon
Umeona wanachofanya hawa marefa waarabu eeh...Hao maustadhi leo pamoja na mbeleko lakini wapi wasiposhinda muda wa nyongeza ni wazembe
Mods fanyeni kazi yenu na mumlipe kadri ya maombi yake,Morocco
Mods wanilime lifeban kama morocco asipobeba afcon
Kafanyaje je tena mkuu?Ila refa mbwiga wakutupwa
Hongera Benin