Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeandika kwa huzuni sana mkuu!!Azam TV siku hizi ndo television ya taifa cjui wasingekuwepo tungeweka wapi nyuso zetu.
Dona kantri inaomba michango tena!!TZ wanakuambia changia Taifa stars ishinde. Pesa tunachanga lakini mpira tuuangalia kwa channel za Kenya. Uganda. Dubai na South Africa. Si Bora tuchangie harambe stars au bafana bafana.
Asante mkuu kwakutupa moyo sisi timu mchina kuna watu walishatukandia umu ..nitaisachi hadi niipate aseeIpo search upya channel kwenye kisimbusi chako 101 kwa DTT and 447 kwa DTH
Daaaaaa hamna namna itabidi twende UBC tu.Azam hawaonyeshi matcha zote,hata ya ufunguzi tuu hawaonyeshi.
Umeuliza swali zuri sana,maana hii channel ni Free to Air.Hyo channel ata sisi ambao hatujalipa kifurushi chochote tunaipata bure?
UGANDA.
Hivi inawezekana kasehemu ka kodi yangu iende UGANDA..
Hata ukiipata wataitoa hao jamaa! Nta sports ya nigeria wanaonyesha ila startimes baada ya kugundua ilo nayo wameitoa! Sisi tim mchina tuandike tu maumivu mkuu 😢Asante mkuu kwakutupa moyo sisi timu mchina kuna watu walishatukandia umu ..nitaisachi hadi niipate asee
Hawa wametingwa na dodomaDuh ingefaa tbc watuoneshe mpira
Usipende kuwa muongo muongo Azam TV kupitia channel mpya Utv watakuwa live saka kobako mechi zote 52.Azam hawaonyeshi matcha zote,hata ya ufunguzi tuu hawaonyeshi.
Fanya deep searching mkuu itakuja automatically uzuri inapatikana kwenye vifurushi vyote mpaka lite.azam tv ni makenge kwa tulonunua dish zao nje na tanzania hicho ki utv hakioneshi sijui wanadhani kila mtu anapenda hayo movie yao wanayotafsiri kwa kiswahili??
shwain
Uganda dhidi ya Uganda.Fainali za 32 za mataifa ya Afrika zinaanza leo nchini Misri kwa kushirikisha mataifa 24, ikiwa ni mara ya kwanza kihistoria.
Mataifa hayo yamegawanywa katika makundi sita yenye timu nne nne ambapo baada ya kutamatika kwa hatua ya makundi timu 16 zitafuzu kucheza hatua ya 16 bora.
Mchezo wa ufunguzi leo ni baina ya wenyeji Misri dhidi ya Zimbabwe ambao utaanza saa tano usiku majira ya Afrika mashariki sawa na saa nne kwa saa ya Afrika ya kati.
Wageni mbalimbali mashuhuri wameshawasili nchini Misri kushuhudia sherehe na mchezo wa ufunguzi akiwemo rais wa Shirikisho la kandanda duniani FIFA, Gian Infantino, Katibu Mkuu wake Fatuma Samoura.
Aidha viongozi mbalimbali wa kisiasa akiwemo rais wa Misri Abdel Fattah Al Sisi na waziri mkuu mstaafu wa Kenya Raila Amollo Odinga watahudhuria tukio hilo.
Baadhi Dondoo muhimu
Ni fainali za 32 za Afrika tangu kuasisiwa kwa mashindano hayo mwaka 1957
Kwa mara ya kwanza mataifa 24 yatashiriki fainali hizo
Nchi za Burundim Mauritania na Madagascar zimefuzu kucheza fainali hizo kwa mara ya kwanza katika historia
Tanzania inashiriki fainali hizo tangu ilipofanya hivyo mwaka 1980, fainali zilizofanyika nchini Nigeria.
Uganda ni taifa pekee la Afrika amshariki lililowahi kufika hatua ya fainali ya mashindano hayo, mwaka 1978 dhidi ya Uganda.
Misri imeshinda taji la Afrika mara saba na inanuia kushinda mara ya nane katika ardhi ya nyumbani.
rfi
Plus best loosers yaani mshindi wa tatu mzuri kutoka makundi manne.Mm naswali kidogo naomba mnitoe tongo tongo
Mataifa yapo 24
Makundi 6
Tim toka kila kundi 2
Jumla ya timu= 6×2
Sasa hizo 16 wanazipataje??