2019 Africa Cup of Nations Special Thread

2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Ujingaaaaa

Mijitu inachenga bila kugawa mpira hatimaye wananyang'anywa
 
Pasi zetu hazina uhakika, mtu anayoa Moira umtoke siyo anampa mwenzake , na anayepewa mpira anausubiri umfikie mguuni
 
Wakuu hatuna timu hapa,

Watu hawagawi mpira kwa wakati, wanachenga karibu na goli, hawapandi juu kwa pamoja kushambulia.

Manula kaachiwa kupambana tu hapa.
 
Back
Top Bottom