McFerson
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 2,166
- 2,322
Kwani vipi mkuu[emoji848]Hehehehe
Kichwa mwendawazimu...
Au tumeanza kunyolewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani vipi mkuu[emoji848]Hehehehe
Kichwa mwendawazimu...
Hali mbaya mkuu, kama naziona 5 hizooo zinasubiri tu muda ufikeKwani vipi mkuu[emoji848]
Au tumeanza kunyolewa
Du! Ngoja nisubiri matokeo humu humuHali mbaya mkuu, kama naziona 5 hizooo zinasubiri tu muda ufike
Wanatia hasira sanaDu! Ngoja nisubiri matokeo humu humu
Hii timu hamna kocha,Wakuu hatuna timu hapa,
Watu hawagawi mpira kwa wakati, wanachenga karibu na goli, hawapandi juu kwa pamoja kushambulia.
Manula kaachiwa kupambana tu hapa.
Siwezi kuamini kama huu ndio ufundishaji wa AmunikeHii timu hamna kocha,
Hufai kuwa mzalendo wewe.Mimi naipa nafasi taifa stars kuwa bingwa