Msafirishaji
JF-Expert Member
- May 28, 2016
- 1,693
- 2,641
Mchezaji wa dharura huyu mwantika anakuja kumuweka nyoni nje
Mwantika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwantika
Only in TanzniaMchezaji wa dharura huyu mwantika anakuja kumuweka nyoni nje
Waliopo mbele wanakaa nyuma ya mabeki...Hawana mawasiliano
Hawapeleki mpira mbele
Wanapiga chenga hawawezi
Mtu anakokoya mpira mpaka anaporwa
Wanasubiri mpira uwafikie hawafati
Manula yupo vizuri ila hapa kaachiwa peke yake. Hakuna mabeki kabisaKeita Balde keshaweka huko. Manula anaonyesha udhaifu mkubwa.
Kishindo cha awamu ya 5Ha ha haaa pongezi zote ni kwa Serikali ya awamu ya tano
Kuna Watu Tuliwaambia hapa sisi tumepita kwa ujirani mwema walituita sisi sio wazalendoOnly in Tanznia
Kwa formation ya Amunike leo ni defense deep kwa sababu ana strikers wenye mbio tatizo lililopo midfielder hakuna wapo wajinga wajinga tu, beki ndio utumboSiwezi kuamini kama huu ndio ufundishaji wa Amunike
Ujirani mwema ulitusaidia tuKuna Watu Tuliwaambia hapa sisi tumepita kwa ujirani mwema walituita sisi sio wazalendo
Kwa Uganda ya Jana na stars hii Kuna team ya kuwafunga Uganda hapa
TunatekelezaHa ha haaa pongezi zote ni kwa Serikali ya awamu ya tano