2019 Africa Cup of Nations Special Thread

2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Hawana mawasiliano
Hawapeleki mpira mbele
Wanapiga chenga hawawezi
Mtu anakokoya mpira mpaka anaporwa
Wanasubiri mpira uwafikie hawafati
 
Hawana mawasiliano
Hawapeleki mpira mbele
Wanapiga chenga hawawezi
Mtu anakokoya mpira mpaka anaporwa
Wanasubiri mpira uwafikie hawafati
Waliopo mbele wanakaa nyuma ya mabeki...
 
Ninashaka tunaweza kuongoza kwa kufungwa magoli mengi. Kwenye haya mashindano.
 
Siwezi kuamini kama huu ndio ufundishaji wa Amunike
Kwa formation ya Amunike leo ni defense deep kwa sababu ana strikers wenye mbio tatizo lililopo midfielder hakuna wapo wajinga wajinga tu, beki ndio utumbo
 
Back
Top Bottom