2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Uganda wako vizuri tu sana na wamekosa nafasi yingi. ila mtu akiona scoreline anaeza fikiria mechi ni rahisi kumbe sio ivo. freekick ya salah ambao wachezaji kwenye wall hawajaruka. na iyo ni kosa .goal la pili ilikuwa deflection bahati mbaya. bravo to Uganda wako vizuri sana na watafuzu kumi na sita bora .
 
Misri wametumia nafasi vzr na 1 mistake 1 goal
Kama freekik ya salah
 
Ukiacha makosa madogo ambayo yamewagharimu Uganda(The cranes) Hawa jamaa kwa Afrika Mashariki wako timamu sana.
Ni kweli kabisa.
Ila hawa Egypt waje wakutane na Morocco watapigwa kama ngoma. Naona timu yao nyepesi sana kwakweli. Unyumbani ndio unawabeba sana. Mie mpaka sasa Morocco ndio nampa ubingwa
 
Morocco wanakaa sana na mpira yaani si rahis wapoteze.. frst touch n nzuri
 
Senegal nilikuwa nawatumainia na kuwapa nafasi ila hamna kitu kbs. Sijui majina yanawaelemea ama ndo ufaza
 
Ni kweli kabisa.
Ila hawa Egypt waje wakutane na Morocco watapigwa kama ngoma. Naona timu yao nyepesi sana kwakweli. Unyumbani ndio unawabeba sana. Mie mpaka sasa Morocco ndio nampa ubingwa
Sure mkuu, Wale Morocco wanaupiga mwingi sana aisee, Egypt bado wakawaida sana nadhan kinachowabeba ni uwenyeji lakini soka lao halivutii kwakweli.
 
Ni kweli kabisa.
Ila hawa Egypt waje wakutane na Morocco watapigwa kama ngoma. Naona timu yao nyepesi sana kwakweli. Unyumbani ndio unawabeba sana. Mie mpaka sasa Morocco ndio nampa ubingwa
Mpira wa kufurahishana siku hizi hapo tena .............Watu wanacheza Tactical Football wanapata matokeo wanasongambele.
 
Zimbabwe kumbe ubwabwa tu walitumia nguvu kuuubwa kuwakaba UG leo wamekutana na kiama hahaha

Meshack Elia 4-0 Kamusoko yupo nje anakodoa tu
 
Back
Top Bottom