Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
@Paul MakondaTaifa staa ana point ngap mpaka sasa
Naskia ndo anaongoza
Swalehe kanipa huo mchapo leo
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
@Paul MakondaTaifa staa ana point ngap mpaka sasa
Naskia ndo anaongoza
Swalehe kanipa huo mchapo leo
Ndo kocha mpya@Paul Makonda
[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Ndio kwani hulielewi hiloo???Ndo kocha mpya
Au ?
Misri wametumia nafasi vzr na 1 mistake 1 goalUganda wako vizuri tu sana na wamekosa nafasi yingi. ila mtu akiona scoreline anaeza fikiria mechi ni rahisi kumbe sio ivo. freekick ya salah ambao wachezaji kwenye wall hawajaruka. na iyo ni kosa .goal la pili ilikuwa deflection bahati mbaya. bravo to Uganda wako vizuri sana na watafuzu kumi na sita bora .
Misri wametumia nafasi vzr na 1 mistake 1 goal
Kama freekik ya salah
Ni kweli kabisa.Ukiacha makosa madogo ambayo yamewagharimu Uganda(The cranes) Hawa jamaa kwa Afrika Mashariki wako timamu sana.
Morocco wanakaa sana na mpira yaani si rahis wapoteze.. frst touch n nzuriNi kweli kabisa.
Ila hawa Egypt waje wakutane na Morocco watapigwa kama ngoma. Naona timu yao nyepesi sana kwakweli. Unyumbani ndio unawabeba sana. Mie mpaka sasa Morocco ndio nampa ubingwa
Hapna huku nilipo hatupati taarifaNdio kwani hulielewi hiloo???
Sure mkuu, Wale Morocco wanaupiga mwingi sana aisee, Egypt bado wakawaida sana nadhan kinachowabeba ni uwenyeji lakini soka lao halivutii kwakweli.Ni kweli kabisa.
Ila hawa Egypt waje wakutane na Morocco watapigwa kama ngoma. Naona timu yao nyepesi sana kwakweli. Unyumbani ndio unawabeba sana. Mie mpaka sasa Morocco ndio nampa ubingwa
Mpira wa kufurahishana siku hizi hapo tena .............Watu wanacheza Tactical Football wanapata matokeo wanasongambele.Ni kweli kabisa.
Ila hawa Egypt waje wakutane na Morocco watapigwa kama ngoma. Naona timu yao nyepesi sana kwakweli. Unyumbani ndio unawabeba sana. Mie mpaka sasa Morocco ndio nampa ubingwa
Mashabiki wa Egypt wanawachanganya.Okwi leo kapotea sana
Anakaba timuMashabiki wa Egypt wanawachanganya.
DuhZimbabwe kumbe ubwabwa tu walitumia nguvu kuuubwa kuwakaba UG leo wamekutana na kiama hahaha
Meshack Elia 4-0 Kamusoko yupo nje anakodoa tu
He's not having a good game today mafarao wamemfanyia kazi alisha wazoea sanaOkwi leo kapotea sana