Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahisi wamesajiri yanga (niko tayari kusahihishwa)Mnata na mtoni wanacheza club gani?
Wazidishe maombi wanaweza kupenya.Washakufa moja huko.
Na ndio kwaheri kwakuwa best looser hawana nafasi
Tumeshinda nduguGooooooal
Manula kimemkuta nini tena!?
Ngoja na mwenzio atekeleze ilani ya chamaNaona hajaanzishwa sjui kwann
Hao ni mabeberu!!Kikosi cha pili kinaifunga kikosi cha kwanza