2019 Africa Cup of Nations Special Thread

2019 Africa Cup of Nations Special Thread

Kusema ukweli Hakuna ile flavor ya final.Tension ni kubwa mno.Hope kipindi cha pili watatuonyesha soccer safi ⚽️.
 
Sidhani uhuni huu utatuwezesha kufanya vizuri world cup

Tutaondolewa asubuhi, kisha tuwape lawama wazungu kuwa wanajipendelea
- no football flow
- no discipline
- no flavour

Yaani nikusukumana tuuuuuu

Daaa aibu sana, kwakweli
 
Back
Top Bottom