2019 COSAFA Women U20 Final: Tanzania 2 VS 1 Zambia

Hongereni pia TFF haya ni matokeo ya kuanzisha ligi ya wanawake, pamoja kuendeleza soka la vijana. Nina hakika baada ya miaka michache lile jina la kichwa cha mwendawazimu litatoweka.
 
Hongera zao,endeleeni hivyo hivyo wanawake
 
Swali la kizushi, walivaa beji kuonesha taifa lina majonzi? Hongera zao sana
 
Nawaombea ushindi Jana wakat nasikiliza kipindi cha michezo capital radio walisema tunachukua kombeeee

Pambaneni wanawake wenzangu
Unaweza kupiga danadana...!
 
Waoo! Wanawake tunawza.
 
Hongera kwa Dada zetu,tuwekeze huku zaidi siyo lazima kutumia nguvu kwa soka la wanaume.

Angalizo,wale kina Makonda na wenzake wanaotaka sifa kwa jambo ambalo hawajawekeza tusiwaone kwenye timu hii na mikamera yao wakiwa na wanasiasa uchwara wanaotafuta kuonekana kwenye mafanikio tu
 
UTASIKIA POROJO NYIINGI HATA TOKA KWA WASIO NA MCHANGO WA MAANA. KAZI KUSUBIRI MAVUNO!
πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜… Kama nawaona vile wakiingia bungeni.....bongo si mchezo
 
Hongereni pia TFF haya ni matokeo ya kuanzisha ligi ya wanawake, pamoja kuendeleza soka la vijana. Nina hakika baada ya miaka michache lile jina la kichwa cha mwendawazimu litatoweka.
Hili suala la kuwa na ligi ya wanawake limezungumzwa sana na wachambuzi wakati wa game, wamesema haya ndio matunda yake, nchi nyingine ziige.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…