agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,400
KhaaaaNdiooo...sema wengi ni vijeba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KhaaaaNdiooo...sema wengi ni vijeba
Hongera zao,endeleeni hivyo hivyo wanawakeTimu ya wanawake ya Tanzania chini ya miaka 20 wakiwa kama waalikwa wameingia fainali katika mashindano ya COSAFA dhidi ya Zambia huko Afrika ya kusini. Mchezo umeshaanza, sasa ni dakika ya 34 ya kipindi cha kwanza, Tanzania inaongoza kwa 1-0
Mchezo unaonyeshwa supersport 9.
Final score: Tanzania 2-1 Zambia
Tanzania mabingwa wa WOMEN COSAFA U20
Lawama zote kwa JohnUTASIKIA POROJO NYIINGI HATA TOKA KWA WASIO NA MCHANGO WA MAANA. KAZI KUSUBIRI MAVUNO!
Nduo mpenzi wangu Agata, wamechukua Kombe.Wamechukua kombe au?
Mwakyembe amepeleka kitambaa kwa fundi sasa hivi ashonewe suti mpya!?UTASIKIA POROJO NYIINGI HATA TOKA KWA WASIO NA MCHANGO WA MAANA. KAZI KUSUBIRI MAVUNO!
Unaweza kupiga danadana...!Nawaombea ushindi Jana wakat nasikiliza kipindi cha michezo capital radio walisema tunachukua kombeeee
Pambaneni wanawake wenzangu
Waoo! Wanawake tunawza.Timu ya wanawake ya Tanzania chini ya miaka 20 wakiwa kama waalikwa wameingia fainali katika mashindano ya COSAFA dhidi ya Zambia huko Afrika ya kusini. Mchezo umeshaanza, sasa ni dakika ya 34 ya kipindi cha kwanza, Tanzania inaongoza kwa 1-0
Mchezo unaonyeshwa supersport 9.
Final score: Tanzania 2-1 Zambia
Tanzania mabingwa wa WOMEN COSAFA U20
UTASIKIA POROJO NYIINGI HATA TOKA KWA WASIO NA MCHANGO WA MAANA. KAZI KUSUBIRI MAVUNO!
Hongera kwa Dada zetu,tuwekeze huku zaidi siyo lazima kutumia nguvu kwa soka la wanaume.Timu ya wanawake ya Tanzania chini ya miaka 20 wakiwa kama waalikwa wameingia fainali katika mashindano ya COSAFA dhidi ya Zambia huko Afrika ya kusini. Mchezo umeshaanza, sasa ni dakika ya 34 ya kipindi cha kwanza, Tanzania inaongoza kwa 1-0
Mchezo unaonyeshwa supersport 9.
Final score: Tanzania 2-1 Zambia
Tanzania mabingwa wa WOMEN COSAFA U20
Hili suala la kuwa na ligi ya wanawake limezungumzwa sana na wachambuzi wakati wa game, wamesema haya ndio matunda yake, nchi nyingine ziige.Hongereni pia TFF haya ni matokeo ya kuanzisha ligi ya wanawake, pamoja kuendeleza soka la vijana. Nina hakika baada ya miaka michache lile jina la kichwa cha mwendawazimu litatoweka.