USA inaweza kukumbana na kizingiti itakapopambana na Sweden tarehe 20 June kwani Sweden nayo siyo ya kudharau. Kumbuka kuwa kwenye Olympic kule Rio mbio za marekani zilifutwa na Sweden kwa njia ya penalty; na wakati huo Marekani ilikuwa na timu maveterani sana. Sasa hivi nadhani maveterani wamebaki watano tu, wengine wote ni chipukizi.Bingwa France au USA
Mademu wanapiga mpira kama wanaume. Mimi nawaangalia na nina furahia.
Mimi napenda kuliangalia lile kipa la Brazil Barbara Ana mzigooo.
Hata wakilipa promo bado sana wanawake kwenye soka daaah .. ..haka kajinsia bwana...Kama leo nimecheki game ya Italy na Jamaica inapigwa kross mchezaji anaruka anagongana na mpira unaingia nyavuni hajui hata kama amefunga goli khaa....Ila Marekani,Australia,Brazil,na wale watoto wa Newzealand hata Japan kidogo wakicheza na Taifa Stars ya Amunike siku hiyo Sibeti kabisa.Kombe la Dunia la wanawake halina mvuto sana, walipe promo bana lisikike vizuri
Hata kipa wa South Africa ana kishundu na hips moja matata mnooooo....Kiboko kipa wa Jamaica banaMademu wanapiga mpira kama wanaume. Mimi nawaangalia na nina furahia.
Mimi napenda kuliangalia lile kipa la Brazil Barbara Ana mzigooo.
Hata wakilipa promo bado sana wanawake kwenye soka daaah .. ..haka kajinsia bwana...Kama leo nimecheki game ya Italy na Jamaica inapigwa kross mchezaji anaruka anagongana na mpira unaingia nyavuni hajui hata kama amefunga goli khaa....Ila Marekani,Australia,Brazil,na wale watoto wa Newzealand hata Japan kidogo wakicheza na Taifa Stars ya Amunike siku hiyo Sibeti kabisa.
Hata kipa wa South Africa ana kishundu na hips moja matata mnooooo....Kiboko kipa wa Jamaica bana
Duh mpwa mbona sijawaangalia kwa jicho hilo aisee...hebu labda nitajaribu game ingine
Nilimwona Sara Gama nikajiuliza je huyu ana uhusiano wowote na Gama wa kitanzania au hilo ni jina la kireno kama lilivyokuwa Vasco da Gama. Nimefuatilia wikipedia inonyesha kuwa baba yake ni mkongomanMpwa nipo likizo sijakosa game hata moja...Kuna Captain wa Italy anaitwa Gama nitaongea na TFF maana yule ni mngoni kabisa....Hapo Jamaica kuna winga anatetema hatari anaitwa Khadija Shaw mtoto mtamu balaaa.Ila kama unapenda mijimama Norway ni wanyakyusa wa Ulaya khaaaa
Wakicheza na Taifa Stars, wewe bet tu kwa vile matokeo yatakuwa ni obvious; stars watalambwa. Hata japan na Ufaransa zitawalamba tu.Hata wakilipa promo bado sana wanawake kwenye soka daaah .. ..haka kajinsia bwana...Kama leo nimecheki game ya Italy na Jamaica inapigwa kross mchezaji anaruka anagongana na mpira unaingia nyavuni hajui hata kama amefunga goli khaa....Ila Marekani,Australia,Brazil,na wale watoto wa Newzealand hata Japan kidogo wakicheza na Taifa Stars ya Amunike siku hiyo Sibeti kabisa.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hata wakilipa promo bado sana wanawake kwenye soka daaah .. ..haka kajinsia bwana...Kama leo nimecheki game ya Italy na Jamaica inapigwa kross mchezaji anaruka anagongana na mpira unaingia nyavuni hajui hata kama amefunga goli khaa....Ila Marekani,Australia,Brazil,na wale watoto wa Newzealand hata Japan kidogo wakicheza na Taifa Stars ya Amunike siku hiyo Sibeti kabisa.