Hiyo tofauti ni kubwa sana aise. Maana hizo gari zikiwa mpya, base price zinapishana kidogo saana. Sio kwa kiasi kikubwa hivyo. Sasa sielewi why kodi inakuwa toafuti hivyo.
Wazee wa autobahn naona mnajiachia tu iwezekanavyo,bongo ukija nalo hilo linakua pambo tu huku na speed zetu za 50km/.Mkuu mwaka jana niliendesha R8 V10 ina button nyekundu kwenye usukani ukibonyeza hiyo huhitaji mziki bali sauti ya exhaust inatosha
Inakimbia haswa ila huku speed limit ndio zinatukomesha
Ingawa kuna sehemu ambayo unaenda kulipia na kuchagua aina ya gari unayotaka na kuiachia unavyotaka
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Ltd edition boss.Ni limited edition au ipo kwenye line up ya Jeep ya kawaida?
Hilo hapo engine yake inatishaWazee wa autobahn naona mnajiachia tu iwezekanavyo,bongo ukija nalo hilo linakua pambo tu huku na speed zetu za 50km/.
Ila R8 V10 si mchezo aisee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa. Nafikiri vile Mercedes zinanunuliwa zaidi kwetu, ndio maana wakaamua wazipo kodi kubwa ili kuongeza mapatoKweli yako maana A8 top of the range unapata mpaka kwa £90,000
Na S class Mercedes zipo za chini ya bei hiyo
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Hapo sawa.
Basi hiyo wamepanga tuu. Sidhani kwamba hawajui kuwa hilo gari linazidi saana hapo kwenye $36,000. Hizo ni bei za A4. Ambayo nahisi inaweza hata kuzidi hapoNa tra wameweka CIF ya A8 ni
wkt CIF ya S-class ni $78,000.
Kitu ambacho ni impossible.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee safi sana mkuu wangu,last time niko pande ziko nilienda pale Thruxton kuosha macho kiaina hivi.Hilo hapo engine yake inatisha
Hapo ni Oxford ni sehemu ya kujaribu speed mkuu ila sio mbaya kama ni hobby yangu
View attachment 1070584
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Daah basi malengo yao wanayajua wenyewe mkuu.Basi hiyo wamepanga tuu. Sidhani kwamba hawajui kuwa hilo gari linazidi saana hapo kwenye $36,000. Hizo ni bei za A4. Ambayo nahisi inaweza hata kuzidi hapo
Kabisa. Kwa kifupi, watu wa nje ya Bongo wananunua magari mpya kwa bei nzuri kuliko sisi. Used ndio usiseme. Wanafurahia saana.
Inawezekana hazina complications nyingi na mawakala wa spare wapo wengi na ni gari zilizokuwepo kwa miaka huko
Na hata kuzitengeneza mechanics wanazijua zaidi
Ukiangalia hata Benz ni wachache sana wanaoweza kutengeneza zikiharibika
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Nitafute tu hela nazipenda sana benzi kiasi kwamba mambo ya class mm hat siangalii hope one day.Kwa kweli Mjapan amewapeleka mchaka mchaka. Lexus LS imejitahidi saana kuwafanya Wajerumani wakune vichwa. Hiyo point umesema ya msingi. Kuna kitu wananiboa siku hizi. Salon wamefanya C na E class kuwa na muonekano fulani unaokaribiana na S Class. Zamani S Class ilikuwa na muonekano wa kipee, yaani ukiliona tu hata kwa mbali hauulizi.
Na wish Bongo wagetutengea hata barabara 2 weekend tuwe tunafurahia magari. Maana kuna watu wana magari yana uwezo mkubwa saana ila yanaishia kubeba maharusi tuHilo hapo engine yake inatisha
Hapo ni Oxford ni sehemu ya kujaribu speed mkuu ila sio mbaya kama ni hobby yangu
View attachment 1070584
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Hahahaha wala sio uongoKuna garage kibao hapa bongo ukiwapelekea Bmw/benz yako hata kubadilisha oil tu hawawezi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tatizo sio uwezo ila watu hawana hobbies kama huku UlayaNa wish Bongo wagetutengea hata barabara 2 weekend tuwe tunafurahia magari. Maana kuna watu wana magari yana uwezo mkubwa saana ila yanaishia kubeba maharusi tu
Hiyo inaukweli aise. Sisi huku TV tuu tunagombania. Wewe unataka kuangalia mpira, wife anataka tamthilia. Kupata furaha kwenye vitu vidogo inakuwa ngumu. Hata road trips tu zinatushinda. Plans zinagoma.Mkuu tatizo sio uwezo ila watu hawana hobbies kama huku Ulaya
Huku watu wana plan ya mwaka mzima wa matukio ya kila aina kuanzia watoto mpaka watu wakubwa
Na unakuta watu wanapendana kwa hobby zinazofanana na wanakuwa na furaha ya ajabu
Sio kama kwetu mtu na mke wake ugomvi hauishi kwa sababu hawana kitu chochote wanachofanana [emoji20][emoji20]
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Ipo siku tunaweza kukutana hukuAisee safi sana mkuu wangu,last time niko pande ziko nilienda pale Thruxton kuosha macho kiaina hivi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huku wanaheshimu hobby ya mtu sana na wengi wanachaguana kwa upendo au anakufata na hobby yakoHiyo inaukweli aise. Sisi huku TV tuu tunagombania. Wewe unataka kuangalia mpira, wife anataka tamthilia. Kupata furaha kwenye vitu vidogo inakuwa ngumu. Hata road trips tu zinatushinda. Plans zinagoma.
Daa! Safi saana huko. Ndio maana unamkuta mke na mume wanapiga stories. Ila huku mmmh!Huku wanaheshimu hobby ya mtu sana na wengi wanachaguana kwa upendo au anakufata na hobby yako
Kama ni gardening mnapanda wote maua
Hahaha remote mtihani hata kutoka ni kula tu
Sent from my SM-G570F using Tapatalk