Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Sio kwa shithole country yetu hii mkuu, huku TRA wanaweza wakaigeuza mradi wa kujineemesha kwa kutupiga makodi makubwa. "Adui wa mwafrika ni mwafrika mwenzie!" ndio hali ilivyo huku kiongozi ila naona kwa hakika 20 years ahead Combustion engine zitakuwa zimbaki kwenye mashine tu na Commercial vehicles. Maana train si tayari!Kwa huku Ulaya wanahimiza utumiaji wa gari za umeme hata congestion charge kuingia mjini ni bure kama gari ni zero emissions na Road tax pia hulipi
Sasa kama wangekuwa wanasaidia watu walete hayo magari na kuwashawishi makampuni ingebidi TRA nao wapunguze bei sana kwa magari ya umeme
Kwani hayo ndio magari ya future wapende wasipende
Na hayo ya mafuta ipo siku yatakuwa things of the past
Toyota Prius wanatumia sana cab drivers huku siku hizi ila wanakera sana barabarani maana wanaendesha polepole sana ili kutumia umeme tu yaani 30m/h
Lakini hapo mjapani kalamba dume mkuu
Kama zikiingia hizo huko kwa wingi Taxi na Uber watafaidi sana
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Hizo EV zinafaa sana kwa town shunts, hasa ukipata yenye atleast 100km/h ama 60m/h walau speed itakuwa inaridhisha. Uber watakuwa wanapeta tu. Sema nahisi wenye kampuni watachezesha kikokotoo chao 😂😂😂 kwa EV's