Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Kwa kweli nimeziendesha aina zote na nimeipenda zaidi XC60 ni economy sanaVolve watachukua dunia hivi karibuni. XC90, XC60, XC40 zinasifiwa saana kwa features kibao.
Halafu ina kitu kimoja cha ajabu sana ukiwa unakata kona na taa zinafuata kama macho kabisa
Na XC90 ni hybrids ukisha charge unaenda mda halafu ukiona umeme unaisha unagusa button na inajijaza
Ila nimeipenda Xc90 ina pilot assist na kwa utundu nikaijaribu ila mwanzo inatisha huwezi amini kama itaenda peke yake
Mkuu kwa kweli Volvo cars waache wajisifie kwa usalama wake
Sent from my SM-G570F using Tapatalk