2019 Mercedes S Class

2019 Mercedes S Class

Na tra wameweka CIF ya A8 ni $36,000
wkt CIF ya S-class ni $78,000.

Kitu ambacho ni impossible.
Hiyo tofauti ni kubwa sana aise. Maana hizo gari zikiwa mpya, base price zinapishana kidogo saana. Sio kwa kiasi kikubwa hivyo. Sasa sielewi why kodi inakuwa toafuti hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mwaka jana niliendesha R8 V10 ina button nyekundu kwenye usukani ukibonyeza hiyo huhitaji mziki bali sauti ya exhaust inatosha
Inakimbia haswa ila huku speed limit ndio zinatukomesha
Ingawa kuna sehemu ambayo unaenda kulipia na kuchagua aina ya gari unayotaka na kuiachia unavyotaka

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Wazee wa autobahn naona mnajiachia tu iwezekanavyo,bongo ukija nalo hilo linakua pambo tu huku na speed zetu za 50km/.

Ila R8 V10 si mchezo aisee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazee wa autobahn naona mnajiachia tu iwezekanavyo,bongo ukija nalo hilo linakua pambo tu huku na speed zetu za 50km/.

Ila R8 V10 si mchezo aisee.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo hapo engine yake inatisha
Hapo ni Oxford ni sehemu ya kujaribu speed mkuu ila sio mbaya kama ni hobby yangu
Screenshot_20180523-144748.jpg

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Kuna garage kibao hapa bongo ukiwapelekea Bmw/benz yako hata kubadilisha oil tu hawawezi.
Inawezekana hazina complications nyingi na mawakala wa spare wapo wengi na ni gari zilizokuwepo kwa miaka huko
Na hata kuzitengeneza mechanics wanazijua zaidi

Ukiangalia hata Benz ni wachache sana wanaoweza kutengeneza zikiharibika

Sent from my SM-G570F using Tapatalk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kweli Mjapan amewapeleka mchaka mchaka. Lexus LS imejitahidi saana kuwafanya Wajerumani wakune vichwa. Hiyo point umesema ya msingi. Kuna kitu wananiboa siku hizi. Salon wamefanya C na E class kuwa na muonekano fulani unaokaribiana na S Class. Zamani S Class ilikuwa na muonekano wa kipee, yaani ukiliona tu hata kwa mbali hauulizi.
Nitafute tu hela nazipenda sana benzi kiasi kwamba mambo ya class mm hat siangalii hope one day.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo hapo engine yake inatisha
Hapo ni Oxford ni sehemu ya kujaribu speed mkuu ila sio mbaya kama ni hobby yangu
View attachment 1070584

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Na wish Bongo wagetutengea hata barabara 2 weekend tuwe tunafurahia magari. Maana kuna watu wana magari yana uwezo mkubwa saana ila yanaishia kubeba maharusi tu
 
Na wish Bongo wagetutengea hata barabara 2 weekend tuwe tunafurahia magari. Maana kuna watu wana magari yana uwezo mkubwa saana ila yanaishia kubeba maharusi tu
Mkuu tatizo sio uwezo ila watu hawana hobbies kama huku Ulaya
Huku watu wana plan ya mwaka mzima wa matukio ya kila aina kuanzia watoto mpaka watu wakubwa
Na unakuta watu wanapendana kwa hobby zinazofanana na wanakuwa na furaha ya ajabu
Sio kama kwetu mtu na mke wake ugomvi hauishi kwa sababu hawana kitu chochote wanachofanana [emoji20][emoji20]

Hiyo inaukweli aise. Sisi huku TV tuu tunagombania. Wewe unataka kuangalia mpira, wife anataka tamthilia. Kupata furaha kwenye vitu vidogo inakuwa ngumu. Hata road trips tu zinatushinda. Plans zinagoma.
 
Huku wanaheshimu hobby ya mtu sana na wengi wanachaguana kwa upendo au anakufata na hobby yako
Kama ni gardening mnapanda wote maua
Hahaha remote mtihani hata kutoka ni kula tu

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Huku wanaheshimu hobby ya mtu sana na wengi wanachaguana kwa upendo au anakufata na hobby yako
Kama ni gardening mnapanda wote maua
Hahaha remote mtihani hata kutoka ni kula tu

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Daa! Safi saana huko. Ndio maana unamkuta mke na mume wanapiga stories. Ila huku mmmh!
 
Back
Top Bottom