2019 Mercedes S Class

Volve watachukua dunia hivi karibuni. XC90, XC60, XC40 zinasifiwa saana kwa features kibao.
Kwa kweli nimeziendesha aina zote na nimeipenda zaidi XC60 ni economy sana
Halafu ina kitu kimoja cha ajabu sana ukiwa unakata kona na taa zinafuata kama macho kabisa
Na XC90 ni hybrids ukisha charge unaenda mda halafu ukiona umeme unaisha unagusa button na inajijaza

Ila nimeipenda Xc90 ina pilot assist na kwa utundu nikaijaribu ila mwanzo inatisha huwezi amini kama itaenda peke yake
Mkuu kwa kweli Volvo cars waache wajisifie kwa usalama wake


Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Safi saana mkuu. Hizo mambo sinaondoa msongo wa mawazo saana. Watu hawajui tu.
Badala ya kuzichezea hela kwingine bora nikaendeshe Porsche masaa matatu mzee au nikaangalie tu huku nakunywa kahawa pembeni nikisikiliza sauti za kila aina

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Tumeshaanza kuwa na plant, tunapaka ndege rangi kwa bei karibu na bure. Soon KLM wataanza kuleta midege yao huku tuipake rangi.

Hii ni Tz ya viwanda na uchumi unapaa (4% sio haba mabepari wanatuonea wivu mkuu)
Rwanda?
Jamani why not us?
Hivi lini tutakuwa na plant na sisi

Sent from my SM-G570F using Tapatalk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Badala ya kuzichezea hela kwingine bora nikaendeshe Porsche masaa matatu mzee au nikaangalie tu huku nakunywa kahawa pembeni nikisikiliza sauti za kila aina

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Hehehee! Kweli. Hata kuangalia tu nafsi inasuuzika. Ulisha attend a Formula 1 race? Mie nina hiyo dream kwa kweli.
 
Kweli GT-R ni mashine. Nafikiri kwa Wajapan hakuna anayetia mguu. Ile Lexus LFA watu wanaipendea special features zake, ila kwenye technology na mbio, inasubiri kwenye GT-R.
 
Hii ni kweli kabisa. Na gari zao bila kuwa kwenye warrant ni balaa. Kuna jamaa yangu ana S Class ya 2016, iliungua taa ya kwenye kitasa cha mlango cha nje, kwenda kwa dealer, walimkamua dola 250 kubadilisha bulb tuu.
Hahah hio ni appetizer tu, yajayo yatamfurahisha zaidi. Yani kama mpenzi wa hizo gari ni aheri ufanye leasing tu kwa muda kuliko kumiliki kabisa. Baada ya mda wa lease ku expire unahamia kwenye lingine.
 
Kuna kipindi kulikuwa na mkutano wa wenye vyombo vya habari, nilimuona Mzee Mengi anaingia na S Class la namna hii. Nafikiri ilikuwa model ya 2016 hivi. Kweli hizo ni level zao hao. Sisi pesa hiyo ukipewa wala huwezi weka kwenye gari.
 
Halafu kweli, umeme kwao sio tatizo kabisa...ila waarabu sidhani kama wataacha kuuza mafuta kabisa japo soko la wese litayumba kiaina. Kuna makampuni mengi yenye machine na mitambo inayohitaji mafuta, Heavy duty vehicles na ndege pia zitaendelea kutumia wese.

China kwa technology wapo juu sana kwa sasa. Wasiwasi wangu battery zitaanza kuuzwa gharama sana. Ule umuhimu wa energy conserving ndio utafanya aina flani za battery zinzotumika kwenye gari kuwa very expensive.
 
Tunaelekea huko. Wakiweza kufanikisha kuzi full charge in 10mins na kwenda umbali mrefu, waarabu watakoma. Mafuta yatawadodea.
Hahaha hili la soko lao la mafuta kuyumba ni swala la muda tu! Wakifikia efficiency hio hizo gari zitakuwa so convenient. Walau gari iweze kukamilisha 1000 km in a single charge which takes less than 30 mins.
 
Nadhani kadri technology inavyokua battery zitashuka bei zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hehehee! Kweli. Hata kuangalia tu nafsi inasuuzika. Ulisha attend a Formula 1 race? Mie nina hiyo dream kwa kweli.
Hapana sijawahi kuona live
Huwa nafuatilia kwenye Tv tu mkuu


Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Kwa kweli jamaa wameamua. Hiyo nchi baada ya miaka michache watakuwa mbali saana.
Kama hawatarudi kwenye vita watafika mbali sana
Ila mweusi lazima wengine wakatae maendeleo na kuona wanaonewa, mara hakuna democracy
Halafu wanaanza za kuleta


Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Tumeshaanza kuwa na plant, tunapaka ndege rangi kwa bei karibu na bure. Soon KLM wataanza kuleta midege yao huku tuipake rangi.

Hii ni Tz ya viwanda na uchumi unapaa (4% sio haba mabepari wanatuonea wivu mkuu)

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji41][emoji41]
Nakusoma na miwani yangu [emoji23][emoji23]


Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Lexus kwa kweli ni very reliable. Hata zile za mwanzo. Mtu most people waliowahi kununua Lexus, lazima watarudi tena. Na kuna LS nyingi saana toleo la kwanza bado ziko barabarani mpaka leo kwenye hali nzuri kabisa.
Yeah hasa ile LS ya mwaka 1998-2003 was ahead of its time.
 
Ukimaliza service plan una-upgrade kwenye current model.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…