Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 20,648
- 17,772
Wale wa choir ama?Kali asingejiweka karibu na wasanii wa bongo asingefika huko..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale wa choir ama?Kali asingejiweka karibu na wasanii wa bongo asingefika huko..
Hawajui kizungu lakini wamewaacha wasanii wa kenya mbali sana [emoji23][emoji23][emoji23]Kali anarap kwa kizungu. Wasanii wa bongo hawajui kizungu. Kali amecolabo wimbo moja tu na msanii wa bongo.
Hip hop nayo ni muziki,au unadhani hip hop ni kitu gani?Jombaa, hapa tunazungumza kuhusu rap, hiphop, sio ngololoo. [emoji1]
Kitu usichokijua ni kwamba muziki hauna lugha,iwe kizungu,kichina,ama kijaluo,aiseee hakuna watu dumb kama ninyi wakenya....Kali anarap kwa kizungu. Wasanii wa bongo hawajui kizungu. Kali amecolabo wimbo moja tu na msanii wa bongo.
Sawa mzee. Kati ya Nasty C na Kaligraph nani mkali?Unaleta tu porojo hapa na huku inaonekana ni nothing when it comes to music,kali kaanza ku- rap muda mrefu hapo kenya,hakuwa hata akijulikana international,kali kaanza kujulikana baada ya kufanya kolabo na young killer,baada ya kuona imekuwa hit akaamua kufunga safari kuja bongo na akafikia clouds fm kwenye pindi la xxl chini ya b12 akiwa na young killer kama mwenyeji wake na chin beez,hapo ndo akajizolea kolabo kama zote akiwa bongo,akafanya kolabo na christian bella(msanii m-congo anayeishi bongo),kisha akafanya kolabo mbili na rostam yaani roma na stamina,kisha akafanya kolabo na country boy,then akafanya kolabo 2 na WCB kupitia kwa rayvanny,kumbuka kali kafanya kolabu 3 na rayvanny wa WCB hizi kolabo ndo zilizomfanya awe nominated katika category ya tuzo za nigeria kama rapper bora,hakuishia hapo akafanya kolabo na harmonize( konde boy mjeshi),akafanya kolabo na ruby ,kisha akafanya na ommy dimpoz...so kaligraph ana kolabo zaidi ya 10 na wanamuziki wa kimataifa wa tanzania
Sasa niambie kaligraph kafanya kolabo nyingi wapi kwingine zaidi ya bongo??? Kali himself knows it all,kama unabisha ingia youtube search kaligraph jones in xxl clouds fm utamsikia akibonga mwenyewe
After nigeria,congo,south africa then tz,kenye will be after uganda in 20....
Mi binafsi namkubali kali the ogSawa mzee. Kati ya Nasty C na Kaligraph nani mkali?
AsanteMi binafsi namkubali kali the og
Wacha upuuzi. Kali anarap kwa kizungu. Wasanii wa bongo hawajui kizungu. Kali amecolabo wimbo moja tu na msanii wa bongo.
Mkuu, kumbe akili zako huwa wakati mwingine zinakaa sawa.Mi binafsi namkubali kali the og
Sema kwamba hufuatilii ila bongo kuna kikundi wanarap kwa kiingereza tu na wanaitwa Tema Yai nation wasanii wao ni km kina mex cortez, leonmcswagg, freshlikeuhh, VIC n.k ni lyricist wazuri na mpk khaligraph j anataka kumshirikisha mbongo mmoja wa tema yai mex cortez kwenye Khali cartel 4Kali anarap kwa kizungu. Wasanii wa bongo hawajui kizungu. Kali amecolabo wimbo moja tu na msanii wa bongo.
Sasa unalia nini!Mkuu, kumbe akili zako huwa wakati mwingine zinakaa sawa.
Tag wenzako wote waliopoteza network kama kina mkorinto, henry kilenga babayao255 lwiva ganza de genjo, FisadiKuu na wengine wengi waliomo humu uwatangazie.