Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Viongozi wakuu wa CHADEMA wanaonekana kutomuunga mkono Tundu Lissu kwa madai hatoshi na hana weledi wa kuongoza chama!
Freeman Mbowe anaonyesha haamini kama akikiacha chama mikononi mwa Lissu hakitakuwa salama.
Kama ni hivyo kwanini mlimuamini kugombea urais wa nchi? Mnasema hana hekima na uweledi wa kuongoza chama nchi angeiongozaje?
Kwa hiyo mlitukabidhi skanka ndio ikae magogoni kumbe mlijua hafai hata kuongoza chama?
Akina John Heche na Godbless Lema mlikuwa na maana gani kutuwekea mgombea msiemuamini?
Mnataka tuamini kwamba nafasi ya mwenyekiti wa chama ni muhimu zaidi kuliko nafasi ya rais wa nchi?
Naacha kuwaamini kabisa.