Pre GE2025 2020 CHADEMA mlituaminisha Lissu anaweza kuongoza nchi leo, mnasema hafai kuongoza chama! Mlitaka kutuingiza chaka?

Pre GE2025 2020 CHADEMA mlituaminisha Lissu anaweza kuongoza nchi leo, mnasema hafai kuongoza chama! Mlitaka kutuingiza chaka?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wanatishangaza sana, je bado kuna sababu ya kuwaamini zaidi?
 
Inapofikia kipindi cha uchaguzi na kampeni zikaanza, maneno mengi hupita, ikiwemo kupeana sifa zisizo nzuri.
 
Dah swali lako linafikirisha sana,Ila ukiwaza kwa makini utagundua kuna kitu hakipo sawa.
 
Back
Top Bottom