Chambusiso JF-Expert Member Joined Jul 11, 2007 Posts 2,592 Reaction score 4,640 Dec 20, 2024 #21 Wanatishangaza sana, je bado kuna sababu ya kuwaamini zaidi?
M missongika JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 341 Reaction score 409 Dec 20, 2024 #22 Inapofikia kipindi cha uchaguzi na kampeni zikaanza, maneno mengi hupita, ikiwemo kupeana sifa zisizo nzuri.
Inapofikia kipindi cha uchaguzi na kampeni zikaanza, maneno mengi hupita, ikiwemo kupeana sifa zisizo nzuri.
Amaizing Mimi JF-Expert Member Joined Feb 2, 2019 Posts 489 Reaction score 1,102 Dec 20, 2024 #24 Dah swali lako linafikirisha sana,Ila ukiwaza kwa makini utagundua kuna kitu hakipo sawa.
LIMBOMAMBOMA JF-Expert Member Joined Oct 3, 2017 Posts 10,482 Reaction score 14,007 Dec 20, 2024 #25 Hizi kauli zinakubomoa zaidi chama kuliko kukijenga
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Dec 20, 2024 #26 LIMBOMAMBOMA said: Hizi kauli zinakubomoa zaidi chama kuliko kukijenga Click to expand... Ni mawimbi yatapita
LIMBOMAMBOMA said: Hizi kauli zinakubomoa zaidi chama kuliko kukijenga Click to expand... Ni mawimbi yatapita