Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muda si mrefu naenda kwenye kijiwe cha mtaa kunywa kahawa. Pamoja na watu wengine watakuwepo aliyekuwa mwenyekiti wa mtaa wetu kutoka Chadema na aliyekuwa mwenyekiti wa mtaa jirani kutoka Chadema. Tunapoongea, hawaamini kama unavyoamini wewe. Kwa tahadhali tu, jamaa hawa wamebeba mengi vifuani. Wanasubiri Oktoba, 2020.Serikali za mitaa! Unaelewa kinachoendelea huko na athari zake kwa maendeleo ya nchi? Kama hujui kuwa hakuna ushirikiano wa kutosha na hilo litakwamisha ufanisi kakojoe ulale tuu.
Hii ni sawa na ndoa ya lazima kisha mke anaapa hatakupa unyumba na wewe unajitapa mbele za watu eti umeoa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe mambo yako ya vijiwe vya kahawa ndio unatuletea humu?Muda si mrefu naenda kwenye kijiwe cha mtaa kunywa kahawa. Pamoja na watu wengine watakuwepo aliyekuwa mwenyekiti wa mtaa wetu kutoka Chadema na aliyekuwa mwenyekiti wa mtaa jirani kutoka Chadema. Tunapoongea, hawaamini kama unavyoamini wewe. Kwa tahadhali tu, jamaa hawa wamebeba mengi vifuani. Wanasubiri Oktoba, 2020.
Msiposhiriki litakiwa jambo jema sana. Hata Uchaguzi wa Serikali za Mitaa hamkushiriki na maisha yanaenda fresh tu!
Muda si mrefu naenda kwenye kijiwe cha mtaa kunywa kahawa. Pamoja na watu wengine watakuwepo aliyekuwa mwenyekiti wa mtaa wetu kutoka Chadema na aliyekuwa mwenyekiti wa mtaa jirani kutoka Chadema. Tunapoongea, hawaamini kama unavyoamini wewe. Kwa tahadhali tu, jamaa hawa wamebeba mengi vifuani. Wanasubiri Oktoba, 2020.
Mimi Mtanzania ninayeyaishi maisha ya Kitanzania. Heri yako wewe na Tundu Lissu mnaoishi maisha ya Kidhungu!!!!
Salamu tele kwenu,
Nikiwa kama mdau wa humu ndani naomba mniambie ni muziki upi unatupeleka kwa Uchaguzi 2020, na pia mavazi yatakuwa ya khanga au vitenge.
Mimi nakumbuka sana ile muziki wa 2015 ilikuwa mtamu sana sana kuburudika. Yule mkaka anakatika sana kwa baada ya kampeni moja na kura mutu tukamchagua. Mnikumbushe basi alivaa rangi gani pia.
Smile 😊
Mwananchi,
Cocochanel
Kuna uchaguzi gani mwaka huu?Sijakuelewa
Maagizo ya nyimbo au?
KAMANDA NITUMIE HIYO PIC KWA INBOX.
Wajipange maana ni haki yao, ila wapiga kura wa upinzani hawana muda wa kushiriki uchaguzi wa kihuni bila tume huru ya uchaguzi.
Nimesoma furushi la maneno lisilo na maana yoyote.
Nimependa avatar yako!naamini ndivyo ulivyo au???
Msiposhiriki litakiwa jambo jema sana. Hata Uchaguzi wa Serikali za Mitaa hamkushiriki na maisha yanaenda fresh tu!
Nyimbo itakuwa ile ya Harmonize (remix ya Kwangwaru) pamoja na ile ya Baba lao Mond atakuwa ameshafanya remix na kuweka lyrics za chama pendwa.. Sare zitakuwa zile jezi za CCM-mpya.View attachment 1359180
Serikali za mitaa! Unaelewa kinachoendelea huko na athari zake kwa maendeleo ya nchi? Kama hujui kuwa hakuna ushirikiano wa kutosha na hilo litakwamisha ufanisi kakojoe ulale tuu.
Hii ni sawa na ndoa ya lazima kisha mke anaapa hatakupa unyumba na wewe unajitapa mbele za watu eti umeoa.
Sent using Jamii Forums mobile app
HAPO TAYARI BUKU 7 IMEINGIA!