Uchaguzi 2020 2020 itakuwa nyimbo ipi na sare zipi?

Uchaguzi 2020 2020 itakuwa nyimbo ipi na sare zipi?

Serikali za mitaa! Unaelewa kinachoendelea huko na athari zake kwa maendeleo ya nchi? Kama hujui kuwa hakuna ushirikiano wa kutosha na hilo litakwamisha ufanisi kakojoe ulale tuu.
Hii ni sawa na ndoa ya lazima kisha mke anaapa hatakupa unyumba na wewe unajitapa mbele za watu eti umeoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Muda si mrefu naenda kwenye kijiwe cha mtaa kunywa kahawa. Pamoja na watu wengine watakuwepo aliyekuwa mwenyekiti wa mtaa wetu kutoka Chadema na aliyekuwa mwenyekiti wa mtaa jirani kutoka Chadema. Tunapoongea, hawaamini kama unavyoamini wewe. Kwa tahadhali tu, jamaa hawa wamebeba mengi vifuani. Wanasubiri Oktoba, 2020.
 
Kumbe mambo yako ya vijiwe vya kahawa ndio unatuletea humu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msiposhiriki litakiwa jambo jema sana. Hata Uchaguzi wa Serikali za Mitaa hamkushiriki na maisha yanaenda fresh tu!

Hata sisi tuko fresh sana, maana ingetuuma kama tungeshiriki kisha Magufuli aagize atangazwe mshindi amtakaye. Sasa hivi tuko happy maana tunajua mnaoongoza kama chama kilichopindua serikali na sio kwa ridhaa yetu, na hao viongozi waliojipachika madarakani hawatuletei mazoea ya kishamba. Ufahamu hata kwenye nchi ambazo serikali imepinduliwa maisha huwa yanaendelea, au uliwahi kusikia nchi iliyopinduliwa wananchi wote walifariki?
 
Muda si mrefu naenda kwenye kijiwe cha mtaa kunywa kahawa. Pamoja na watu wengine watakuwepo aliyekuwa mwenyekiti wa mtaa wetu kutoka Chadema na aliyekuwa mwenyekiti wa mtaa jirani kutoka Chadema. Tunapoongea, hawaamini kama unavyoamini wewe. Kwa tahadhali tu, jamaa hawa wamebeba mengi vifuani. Wanasubiri Oktoba, 2020.

Hayo waliyobeba vifuani wasisubiri mpaka hiyo October, wayatoe hata mchana huu na muwalipe chao. Ila tunajua fika sasa hivi hakuna siasa za ushindani wala ushawishi, bali ubabe, utekaji na mauji, na sio kila mtu anaweza kusimamia anachokiamini pindi anapofanyiwa uhayawani. Akiondoka kiongozi huyu anayeendesha siasa za kishenzi, tutaendelea na siasa zetu za ushindani na demokrasia ya kweli. Hivyo kama mlijipanga kutamba kuwa mnakubalika hapa tulipo tunawachora tu, na hatuko tayari kushiriki chaguzi za kipuuzi.
 
Salamu tele kwenu,

Nikiwa kama mdau wa humu ndani naomba mniambie ni muziki upi unatupeleka kwa Uchaguzi 2020, na pia mavazi yatakuwa ya khanga au vitenge.

Mimi nakumbuka sana ile muziki wa 2015 ilikuwa mtamu sana sana kuburudika. Yule mkaka anakatika sana kwa baada ya kampeni moja na kura mutu tukamchagua. Mnikumbushe basi alivaa rangi gani pia.
Smile 😊

Mwananchi,
Cocochanel
SURATI ZUBAA  Ndio surati zubaa, pengine tumesomewa, Sivyo tusingebung'aa, wakat ( 640 X 640 ).jpg
 
Sasa kwanini mnalialia? Na kwa taarifa yako, insider wangu aliye kwenye Kikao cha Kamati Kuu ya Chadema kilichokaa jana na leo kinamaliza, amenidokezea kuwa Tamko la Kikao ni "Kushiriki Kikamilifu kwenye Uchaguzi wa Madiwani, Wabunge na Rais Oktoba, 2020". Kwanini usiwashauri wakasusa ili miwe fresh tu!?? Ahahahahahha!
 
Wao wamepanga ku "fight within". Wanaenda mbali kwamba if the maxims of elections are the same, basi wanaamini Oktoba,2020 Chadema haitashiriki kwenye Uchaguzi wa Madiwani, Wabunge na Rais. Wakishiriki, kimbembe kitaanzia hapo. Kumbuka wao ndio sana wapiga kura huku chini!
 
Wajipange maana ni haki yao, ila wapiga kura wa upinzani hawana muda wa kushiriki uchaguzi wa kihuni bila tume huru ya uchaguzi.

Inakuwaje hao waseme etii hakuna tume huru ya uchaguzi kwa kelele za maneno.. na hawaendi kushitaki wanaowalalamikia? Mimi kama mwananchi ni porojo tu sasa hivi ikifika muda wao wa kupata mlo.. hao wanagombea na kuwaacha akina wewe mataaa
 
Msiposhiriki litakiwa jambo jema sana. Hata Uchaguzi wa Serikali za Mitaa hamkushiriki na maisha yanaenda fresh tu!

Yaani wakaumbuka na kuonewa, viongozi wao wa juu hawakuachia ngazi kabisa.
Walitakiwa wawatandike bakora kwa kuwanyima uhuru wa kugombea.
 
Serikali za mitaa! Unaelewa kinachoendelea huko na athari zake kwa maendeleo ya nchi? Kama hujui kuwa hakuna ushirikiano wa kutosha na hilo litakwamisha ufanisi kakojoe ulale tuu.
Hii ni sawa na ndoa ya lazima kisha mke anaapa hatakupa unyumba na wewe unajitapa mbele za watu eti umeoa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Tuambie hayo unasema.. sio vizuri kumwandikia mwenzetu mameno uliyomwambia akafanye.. punguza hasira..
 
Back
Top Bottom