Tetesi: 2020 Mahakimu kuzuiwa ku - sign fomu za wapinzani, CCM kupita bila kupingwa nchi nzima

Hawawezi kufanya hivi wanaakili pia wanajua kufanya hivi ni kukaribisha Fuji uvunjifu wa amani na machafuko na mwisho uasi kama mdau hapo juu alivyosema

Ila wanaweza kufanya hivyo maeneo machache
bongo hakuna mtu awezae kufanya fujo
 
Tanzania ilikuwa ni nchi nzuri Sana..
Tanzania ni nchi yetu iliyo jaa baraka tele!
Achana na wanasiasa uchwara walahi!
Hamna wapinzani Tanzania tena!
Wote ni ndugu zangu na Tanzania ni moja!
Believe me!
 
Imeanza Longido kama pilot (majaribio) na imefanikiwa kwa aslimia 100 baada ya Hakimu kugoma kusign fomu ya mgombea udiwani wa CHADEMA. Kilichofuata ni mgombea wa CCM kutangazwa kupita bila kupingwa na wana CCM na Polepole wao wakashangilia hadi kuchanganyanyikiwa kama mazwazwa.

Hivyo 2020 hakuna uchaguzi maana wagombea wa CCM wa udiwani na ubunge watatangazwa na wasmamizi kuwa wamepita bila kupingwa.

Pia Jaji anaweza naye asikubali kusign fomu za Mgombea urais wa CHADEMA, lakini ata sign za Dovutwa ili kuuhaada ulimwengu kuwa uchaguzi wa Rais unafanyika. Lakini siku 2 za mwisho atatangaza kuunga mkono Mgombea wa CCM.

Kama haya si kweli nawapa changamto, yule Hakimu wa Longido kachukuliwa hatua gani na mahakama? Jibu unalo- KAPANDISHWA CHEO.

NB: Mahakama sasa ni moja ya jumuiya za CCM kama ilivyo jumuiya ya wazazina UVCCM.
Power corrupts, but ABSOLUTE power corrupts ABSOLUTELY.
 
Three of hallmarks of Absolute Corruption are:
1. Arbitrariness
2. Ambiguity
3. Capriciousness
 
Imeanza Longido kama pilot (majaribio) na imefanikiwa kwa aslimia 100 baada ya Hakimu kugoma kusign fomu ya mgombea udiwani wa CHADEMA. Kilichofuata ni mgombea wa CCM kutangazwa kupita bila kupingwa na wana CCM na Polepole wao wakashangilia hadi kuchanganyanyikiwa kama mazwazwa.

Hivyo 2020 hakuna uchaguzi maana wagombea wa CCM wa udiwani na ubunge watatangazwa na wasmamizi kuwa wamepita bila kupingwa.

Pia Jaji anaweza naye asikubali kusign fomu za Mgombea urais wa CHADEMA, lakini ata sign za Dovutwa ili kuuhaada ulimwengu kuwa uchaguzi wa Rais unafanyika. Lakini siku 2 za mwisho atatangaza kuunga mkono Mgombea wa CCM.

Kama haya si kweli nawapa changamto, yule Hakimu wa Longido kachukuliwa hatua gani na mahakama? Jibu unalo- KAPANDISHWA CHEO.

NB: Mahakama sasa ni moja ya jumuiya za CCM kama ilivyo jumuiya ya wazazina UVCCM.
Maji mkuu mstaafu alikwisha tujulisha hali halisi ya mahakama tens ikulu, sasa sisi tunajadili nini?
 
Back
Top Bottom