Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
anaweza kupigwa mtama na akanyang'anywa silahaKushindina na kichaa aliye shika siraha. ni kujiandaa kufa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anaweza kupigwa mtama na akanyang'anywa silahaKushindina na kichaa aliye shika siraha. ni kujiandaa kufa.
Wajinga na washamba wanaharibu umoja wa taifa letu.Mazezeta wanashangilia.unaweza kudhani umeweka jambo la maana sana lakini kumbe umestua dunia nzima
bongo hakuna mtu awezae kufanya fujoHawawezi kufanya hivi wanaakili pia wanajua kufanya hivi ni kukaribisha Fuji uvunjifu wa amani na machafuko na mwisho uasi kama mdau hapo juu alivyosema
Ila wanaweza kufanya hivyo maeneo machache
Totally true walahibongo hakuna mtu awezae kufanya fujo
Nimeipenda hii
Tanzania ni nchi yetu iliyo jaa baraka tele!Tanzania ilikuwa ni nchi nzuri Sana..
Power corrupts, but ABSOLUTE power corrupts ABSOLUTELY.Imeanza Longido kama pilot (majaribio) na imefanikiwa kwa aslimia 100 baada ya Hakimu kugoma kusign fomu ya mgombea udiwani wa CHADEMA. Kilichofuata ni mgombea wa CCM kutangazwa kupita bila kupingwa na wana CCM na Polepole wao wakashangilia hadi kuchanganyanyikiwa kama mazwazwa.
Hivyo 2020 hakuna uchaguzi maana wagombea wa CCM wa udiwani na ubunge watatangazwa na wasmamizi kuwa wamepita bila kupingwa.
Pia Jaji anaweza naye asikubali kusign fomu za Mgombea urais wa CHADEMA, lakini ata sign za Dovutwa ili kuuhaada ulimwengu kuwa uchaguzi wa Rais unafanyika. Lakini siku 2 za mwisho atatangaza kuunga mkono Mgombea wa CCM.
Kama haya si kweli nawapa changamto, yule Hakimu wa Longido kachukuliwa hatua gani na mahakama? Jibu unalo- KAPANDISHWA CHEO.
NB: Mahakama sasa ni moja ya jumuiya za CCM kama ilivyo jumuiya ya wazazina UVCCM.
nakuona bw; CYPRIAN majura MUSIBA
Karibu tanzanite.nakuona bw; CYPRIAN majura MUSIBA
ndio wapi huko!Karibu tanzanite.
Google tu utapajua.ndio wapi huko!
niekekeze bana nije kuku ungisha magazeti! au hata kukusaidia marketingGoogle tu utapajua.
Jali hali yako, no vacancy!niekekeze bana nije kuku ungisha magazeti! au hata kukusaidia marketing
haya wasalimie kona ya tandale hapoJali hali yako, no vacancy!
Maji mkuu mstaafu alikwisha tujulisha hali halisi ya mahakama tens ikulu, sasa sisi tunajadili nini?Imeanza Longido kama pilot (majaribio) na imefanikiwa kwa aslimia 100 baada ya Hakimu kugoma kusign fomu ya mgombea udiwani wa CHADEMA. Kilichofuata ni mgombea wa CCM kutangazwa kupita bila kupingwa na wana CCM na Polepole wao wakashangilia hadi kuchanganyanyikiwa kama mazwazwa.