PreGE2025 2020 Rais Samia ndio alifanya kampeni za Urais na CCM ikapata Ushindi wa 84% Chawa wasijifanye bila wao hakuna Ushindi!

PreGE2025 2020 Rais Samia ndio alifanya kampeni za Urais na CCM ikapata Ushindi wa 84% Chawa wasijifanye bila wao hakuna Ushindi!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Na hata bila ya policcma na tumeccm, bado atashinda kwa wepesi siyo!
 
Tunakumbushana tu kabla ya kwenda kulala

Rais Samia atashinda bila msaada wa Chawa yoyote

Mlale unono 😁🇹🇿
Hii 84% mnaipata wapi maana mpaka sasa matokeo ya kura za u - Rais za uchaguzi mkuu wa 2020 Jimbo kwa Jimbo hayajatangazwa na tume ya uchaguzi zaidi ya kusema kwa mdomo tu kuwa "ameshinda kwa 84%"

Tunaweza kui -justify kwa namna gani hii 84% ya ushindi wa dhahania wa Bi Chura Kiziwi ndugu johnthebaptist?
 
IMG_2827.jpg
 
Back
Top Bottom