2021 AFCON Special Thread

2021 AFCON Special Thread

Malawi wamepaki sana, kiasi cha kwamba wamewaruhusu sana Morocco kupanda! Angalia mahali anapocheza Hakimi utasema sio Full back
Tatizo la kupaki basi bwana inabidi uwe na counter attacking strategy nzuri ambayo inahatariaha usalama wa goli la wapinzani.

Sasa hawa ndugu zetu wakipata mpira huko mbele wala haukai...so kila mara unarudi na unchezwa kwenye penalty area yao eventually utafanya makosa
 
Back
Top Bottom