2021 AFCON Special Thread

2021 AFCON Special Thread

Mechi za leo

36A1BEC3-0DA2-434B-82B8-7C378C0B53D9.jpeg
 
Sisemi kwamba watashinda ila only a person ambae hafuatilii Soccer anaweza akawa-write off the Pharaohs

Ukishafika kwenye hii stage ya mitoani sometimes experience na uhalisia kwamba ushafika hatua hizo mara kadhaa huwa ni added advantage hata kama haupo kwenye fomu.... (It has happen so many times)
 
Kamanda, Mafarao leo wanashinda.....mark my words.....hawa jamaa wa NORTH wakishafika 16 bora to Quarter final, They change like snakes.....

Egypt 2-0 Ivory coast
 
Sitashangaa hawa jamaa ni kinara kwenye hili kombe sio kwa bahati mbaya nakumbuka hata Final Moja wakati ule Ivory Coast ndio ilikuwa na Golden Generation majina yote makubwa jamaa waliwatoa kwa Penalties....

Kwahio mpira unadunda sisemi kwamba watashinda ila kwa mtu anayewa-write off nadhani atakuwa hajafanya upembuzi yakinifu
 
Back
Top Bottom