2021 AFCON Special Thread


Kabisa kamanda, ngoja tuone
 
Kwenye stage hizi waarabu wanakua balaa sana aiseee

Natamani sana Code washinde lakini waarabu wanajua sana kucheza nje na ndani ya uwanja kwenye knock out stage

Kila kheri code
 
Ikitokea Mafarao wamemtoa Ivory coast itakuwa uzoefu umewabeba...japo hawapewi nafasi ila waarabu wana uzoefu sana na hatua za mitoano........

Ivory coast wameonyesha mchezo mzuri sana hatua ya makundi hata kumpa kichapo kikali bingwa mtetezi.....binafsi natamani Sana wavuke ila dakika 90,120 au matuta zitaamua.
Kwenye stage hizi waarabu wanakua balaa sana aiseee

Natamani sana Code washinde lakini waarabu wanajua sana kucheza nje na ndani ya uwanja kwenye knock out stage

Kila kheri code
 
Kuna ile Golden Generation ya kina Drogba, Toure Brothers n.k. ila kwa uzoefu wa mwarabu walikosa Kombe..., That was an opportunity missed ila kwa mwarabu hasa huyu pharaoh haikuwa ajabu (anything can happen)
 
Nikiwa na wenge Kagera Sugar nilikutana na Highlights za Masry na Ivory Coast ...nikaahtuka jinsi Waarabu walivokuwa wanagaragazwa 9 -3😬
Ilitokea wapi na lini hii!
Ila Kgaera hawana adabu aisee
 
Leo acha wauwane......nasubiri timu langu Morocco tumgalagaze anaepita.....but nilitamani mno tupangwe na cameroon or senegal tuwaonyeshe mpira unavyochezwa kwa akili, na sio kwa michongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…