ElPuto Jefe
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 5,284
- 19,410
Hadi sasa wamecheza vizuri ila wajitahidi kudhibiti matumizi ya nguvu.warabu ni wajanja sana na wanatumia akili mingi sana tofauti na ivory coast.Neno moja kwa Ivory Coast kwa dakika hizi
Hii game Egypt ana Red card mojaHadi sasa wamecheza vizuri ila wajitahidi kudhibiti matumizi ya nguvu.warabu ni wajanja sana na wanatumia akili mingi sana tofauti na ivory coast.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Warabu wamezidiwa hata pass kumi wanashindwa kufikishaHadi sasa wamecheza vizuri ila wajitahidi kudhibiti matumizi ya nguvu.warabu ni wajanja sana na wanatumia akili mingi sana tofauti na ivory coast.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hakika. Ilipaswa iwe game tafu lakini imekuwa tofauti mpaka sasa.Mechi imepooza kiaina
Ngoja tuoneHakika. Ilipaswa iwe game tafu lakini imekuwa tofauti mpaka sasa.
Ila tusubiri tuone huenda game ikabadilika baadae.
Wamefanyaje?Ngoja Tupoze Machungu Huku
Ila DSTV wanachonifanyia
Waarabu hawa wana kitu cha tofauti sana na ss indigenousHakika. Ilipaswa iwe game tafu lakini imekuwa tofauti mpaka sasa.
Ila tusubiri tuone huenda game ikabadilika baadae.
Wanabadilikaga hao.japo misri safari hii hayuko vizuri sana.Warabu wamezidiwa hata pass kumi wanashindwa kufikisha